Le Mutuz Is So Fragile Inside

Le Mutuz Is So Fragile Inside

Kwa kifupi.. Nimekaa nikajaribu kufatilia aina ya followers alionao Le Mutuz na celebrities wengine wachache..

Most of their followers ni watu wa kiwango cha chini sana kwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo.

Na that's why Le Mutuz akipost anything mfano kwenye IG, comments karibia zote zinakubaliana na kitu alicho post.... hakuna mtu anayeargue chochote.

Mfano siku moja alipost kwamba 99% ya wanawake na wanaume walio kwenye ndoa wana cheat..!!
Almost wote walio kuwa wana comment walikuwa wana support... How can u support such a thing just without even asking labda tupe proof ya unachosema..??!!

Yeye huwa anasema tu.. Hii ni fact na sio Sheria yangu ndio hali halisi.. Basi.

Sikatai... mfano kwenye ndoa cheating zipo.. lakini when someone anakuja na figure (99%)lazima ku ask.. Provide proof kama ni research imefanyika etc etc.

Anyway ukiwa unataka kucheka kwa Ujinga wa kwenye mitandao.. Pitia page ya huyu Le Mburuluzzzz..

Ukimbishia kitu kwa fact anakupiga kufuli.
Hahahaahahaa Nafwaaazzzz.
Hawapngi coz wanaogopa block mi ashaniblock siku nyingi kisa nilimpnga tu wala ckutumia lugha mbaya wala kumtukana
 
Kwani huyu jamaa ana watoto/mtoto?
Nimesoma pahala ana degree 3 za fani tofauti tofauti je kazi anayoifanya inahusiana na fani alizosomea?
Na kama haihusiani ameshindwa kutafuta sponsor yeyoyote akamfadhili ili atendee haki fani alizosomea badala ya kukesha mitandaoni akibishana na watoto?
 
Kwani huyu jamaa ana watoto/mtoto?
Nimesoma pahala ana degree 3 za fani tofauti tofauti je kazi anayoifanya inahusiana na fani alizosomea?
Na kama haihusiani ameshindwa kutafuta sponsor yeyoyote akamfadhili ili atendee haki fani alizosomea badala ya kukesha mitandaoni akibishana na watoto?

- ninatafakari majina ya leo umeyasikia mkuu

le Mutuz
 
- Sawa sawa sp baba yako ana furaha sana kuona mtoto wake wa kiume akiingia mitandaoni kwa majina ya bandia kutukana wanaume asiowajua? unasema baba yako is proud of that? hahahahahahaha ningekuwa mimi ndio baba yako ningejiua tu yaishe hahahahahaha

le Miutuz
Heri atukanaye mtandaoni ila sio wewe chaunafiki wewe siulikuwa unamtetea majjizo hauzi unga kakamatwa mbona humtetei....mwili mkubwa akili nukta kazi kujisifu ovyo tuu mitandaoni huna lolote ungekuwa na akili baba yako angekuwekaga hata kwenye ukuu wa wilaya
 
Hivi le Mutuz ni nani hapa Tanzania?

Je, ni kiongozi wa serikali?

Pili anajishughulisha na nini mi nasikia tu huku JF, mara Le Mutuz umetudanganya kiukweli mi binafsi simujui mtu huyu, naomba nifahamishwe.
 
Hivi le Mutuz ni nani hapa Tanzania?

Je, ni kiongozi wa serikali?

Pili anajishughulisha na nini mi nasikia tu huku JF, mara Le Mutuz umetudanganya kiukweli mi binafsi simujui mtu huyu, naomba nifahamishwe.

- Leo Super Kiss from Movie Star Rose Ndauka I lov it U know

le Mutuz

 
- hapo ndipo ninapolala Big Celeb proper U know na ni pesa za Social Media, on a serious note naomba useme unalipwa kiasi gani kuwepo humu na mimi nikuambie sasa mimi na wewe nani mjanja? hahahaha unayenunua bando kutukania wanaume usiowajua au mimi ninapewa bando bure na makampuni ya simu na kuvuta Millions hapa hapa ambapo wewe unatukana mimi navuta mpunga hahahahaa mkuu hicho kichwa kingekuwa changu ningejiua U know hahahahahaha

le Mutuz

Hilo shuka au pazia
 
- Leo na wabebezz wakareezzz U know live!!

le Mutuz

Aaaaaaaaah kumamake le akili kubwaz le mbebez nipe hicho kiportable basi, cheupe mnato hicho....si unajua tena vizuri kula na mwenzako u know le akili kubwaz...
 
Back
Top Bottom