Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Sio kwamba amekudanganya, ukweli ni kwamba kaonekana wakuja ndio maana kapandishiwa bei mara dufu akaingia mkenge. Chezea watoto wa Mjini.
 
- Hawa ndio wabebezz wanaopanda ile LE SUPER NOAH, wewe mjie na ndege yako akipanda nife kwanza hahahahaha it is about mtu sio material hahahahahaha U know Super Kiss from my babe Super Bilioneaz hahahahaha

le Mutuz

Mchumba wako yupo wapi? Mbona ana kazi, kama ni mchumba kweli. Dah, ni afadhali kuyafanya haya mambo ujanani aisee, au ndio mwisho wake ndio huu unafanya uzeeni, kah!
 
Hahahahaaaa kweli kaka na kwenye vibanda vya viatuu,wanakupimiaaa wakiona mbwiga utasiki hii raba laki na nusu hahahahaaaaa
 
Huyu jamaa mi simuelewagi kabisa yani. Enzi nikiwa nasoma nakumbuka watu kama hawa tuliwaita "KJ" kubwa Jinga
 
Mchumba wako yupo wapi? Mbona ana kazi, kama ni mchumba kweli. Dah, ni afadhali kuyafanya haya mambo ujanani aisee, au ndio mwisho wake ndio huu unafanya uzeeni, kah!
Huwa anawaomba apige nao picha tu, hakuna mchumba hapo. Mkuu ni sawa na ile umeenda mbugani ukatamani jupiga picha na .............
 
Huwa anawaomba apige nao picha tu, hakuna mchumba hapo. Mkuu ni sawa na ile umeenda mbugani ukatamani jupiga picha na .............
Huyu binti namjua sio mchumba wake, namuuliza leMutuz kwa nini asirushe picha alizopiga na mchumba wake? Labda leFiancee ni wa mwendo kasi, hahaha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
- I am big Celeb ndio maana unanijadili hapa maana huu ni uwanja wa Celebs, ukitaka kujua kama ni Super Star angalia mada na viewers hahahahahahaha I am Super Star Celebs na sio kwa bahati mbaya U know and I love it!!

le Mutuz Nation
Jamaa anamshati mkubwa unaofunika vitz
 
- ni kwa sababu I AM THE KING OD ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, ndio maana Jumamosi hii nimealikwa Arusha kwenye Special Luxury Party ya Super Celebs, nimelipiwa Ndege na Five star Hotel je na wewe umealikwa? hahahahahhaha

le Mutuz
Lemutuz unapenda sana ofa

Utaolewaaa
 
- Huyo ni my ex wife alikuwa anahangaika na makaratasi ya kutengeneza huko USA, hahahahahaha hahahahaha U know anatia huruma sana hahahahahahaha

le Mutuz
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] imepenya hiii wallah
 
Hivi bado kuna watu mnamtilia maanani huyo mtoto mdogo mwenye mwili mkubwa?
 
- Hawa ndio wabebezz wanaopanda ile LE SUPER NOAH, wewe mjie na ndege yako akipanda nife kwanza hahahahaha it is about mtu sio material hahahahahaha U know Super Kiss from my babe Super Bilioneaz hahahahaha

le Mutuz

Unaishiwa kupigwa mabusu tu .....walaji wengine
 
Le mutuz wamekubaini humu...!!!utakomaa..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…