PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mfuko wako wa chips funga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mfuko wako wa chips funga
Mchumba wako yupo wapi? Mbona ana kazi, kama ni mchumba kweli. Dah, ni afadhali kuyafanya haya mambo ujanani aisee, au ndio mwisho wake ndio huu unafanya uzeeni, kah!
Msalimie Nana And mpe hongera kwa tuzo za Huawei africa.- HAHAHAHAH look here Social Media is my businesss so I am right at home, karibu sana
le Mutuz
Hahahahaaaa kweli kaka na kwenye vibanda vya viatuu,wanakupimiaaa wakiona mbwiga utasiki hii raba laki na nusu hahahahaaaaaKitambo sana, sikumbuki vizuri ama ni Mapipa au Usalama kulikuwa na washikaji wanauza jeans kali ile mbaya!!! Sasa ilikuwa ukiuliza bei, wanakuangalia usoni... wakikuona mluga luga fulani hivi usiyefanania; wanakutajia bonge la bei ili usiendelee kuwasumbua!!
Nadhani ndicho kilimkuta Le Mutuz!!!
Braza hao watu au midoliiiiiiiiiii??.
Huwa anawaomba apige nao picha tu, hakuna mchumba hapo. Mkuu ni sawa na ile umeenda mbugani ukatamani jupiga picha na .............Mchumba wako yupo wapi? Mbona ana kazi, kama ni mchumba kweli. Dah, ni afadhali kuyafanya haya mambo ujanani aisee, au ndio mwisho wake ndio huu unafanya uzeeni, kah!
Huyu binti namjua sio mchumba wake, namuuliza leMutuz kwa nini asirushe picha alizopiga na mchumba wake? Labda leFiancee ni wa mwendo kasi, hahaha!Huwa anawaomba apige nao picha tu, hakuna mchumba hapo. Mkuu ni sawa na ile umeenda mbugani ukatamani jupiga picha na .............
Jamaa anamshati mkubwa unaofunika vitz- I am big Celeb ndio maana unanijadili hapa maana huu ni uwanja wa Celebs, ukitaka kujua kama ni Super Star angalia mada na viewers hahahahahahaha I am Super Star Celebs na sio kwa bahati mbaya U know and I love it!!
le Mutuz Nation
Lemutuz unapenda sana ofa- ni kwa sababu I AM THE KING OD ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, ndio maana Jumamosi hii nimealikwa Arusha kwenye Special Luxury Party ya Super Celebs, nimelipiwa Ndege na Five star Hotel je na wewe umealikwa? hahahahahhaha
le Mutuz
Hivi Lemutuz anaogaje?Babu anazeeka vibaya
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] imepenya hiii wallah- Huyo ni my ex wife alikuwa anahangaika na makaratasi ya kutengeneza huko USA, hahahahahaha hahahahaha U know anatia huruma sana hahahahahahaha
le Mutuz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu baba ana 60 yrs ila akiri zake km Uvccm
Hivi Lemutuz na Kikwete nani mkubwa kiumri?dah huyu mbaba anazeeka vibaya..
Duh hata sielewi aisee [emoji1] [emoji1]Hivi Lemutuz anaogaje?