Jamaa anawachukulia wadada kama wanyama mbugani na ndio sababu unaona anapiga picha kama mtu anabarizi mbuganiHuyu binti namjua sio mchumba wake, namuuliza leMutuz kwa nini asirushe picha alizopiga na mchumba wake? Labda leFiancee ni wa mwendo kasi, hahaha!
ha haaa haaaasHuyu baba ana 60 yrs ila akiri zake km Uvccm
Kumbe ana watoto? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hilo zee tahira ndio maana hataki watoto wake hawamtaki yani wanaona bora wamuite mtu kama harmorapa baba kuliko hili mdananda mzee anayeishi kwa offer za wanaume wenzako, muangalie anavyobisha suala la umri na hadi passport yake anasema hapo umri alidanganya labda kweli kwa maana ya kuupunguza sababu nikipiga mahesabu according kwa miaka 30 aliyokaa marekani plus ameondoka bongo akiwa na miaka 25 +sita ya kukaa bongo basi sasa hivi huyu babu ana miaka 61 yani kwa sharia za bongo huyu ni mstaafu kabisa,tusimnyanyapae huyu babu jamani na hilo tumbo lake lilivyokuwa kubwa basi hata hako kadudu kake kitakuwa kimeshamizwa yeye mwenyewe anakipapasa tu hakioni na ndio maana kila siku anapigwa vibuti na hivyo Vito to vyake vya sinza anavyovidate kama kina nasra international haha na hapa alivyokuwa muoga ataogopa hata kujibu au hata akijibu atasema mimi ni x wife wake sababu ya maneno ya ukweli hahaha
Lemutuz unapenda sana ofa
Utaolewaaa
Hilo zee tahira ndio maana hataki watoto wake hawamtaki yani wanaona bora wamuite mtu kama harmorapa baba kuliko hili mdananda mzee anayeishi kwa offer za wanaume wenzako, muangalie anavyobisha suala la umri na hadi passport yake anasema hapo umri alidanganya labda kweli kwa maana ya kuupunguza sababu nikipiga mahesabu according kwa miaka 30 aliyokaa marekani plus ameondoka bongo akiwa na miaka 25 +sita ya kukaa bongo basi sasa hivi huyu babu ana miaka 61 yani kwa sharia za bongo huyu ni mstaafu kabisa,tusimnyanyapae huyu babu jamani na hilo tumbo lake lilivyokuwa kubwa basi hata hako kadudu kake kitakuwa kimeshamizwa yeye mwenyewe anakipapasa tu hakioni na ndio maana kila siku anapigwa vibuti na hivyo Vito to vyake vya sinza anavyovidate kama kina nasra international haha na hapa alivyokuwa muoga ataogopa hata kujibu au hata akijibu atasema mimi ni x wife wake sababu ya maneno ya ukweli hahaha
Unaishiwa kupigwa mabusu tu .....walaji wengine
Ni vigumu kuamini kuna watu wazima wanafuatilia posts za Le Mutuz.
Jamaa anawachukulia wadada kama wanyama mbugani na ndio sababu unaona anapiga picha kama mtu anabarizi mbugani
Mkuu, sijaelewa hapa maana kama na ww umo ktk hao wanaofuatilia?
Mkuu mimi ni member wa JF, huwa ninashangaa kuona posts za kumponda Le Mutuz zinaletwa humu, tena unakuta ni kwa vitu alivyoviandika Instagram.
Sasa najiuliza kama kila siku mnamlalamikia kwamba ana utoto mwingi na ninyi ni watu wazima, kwa nini mwendelee kufatilia posts zake?
Imagine thread kama hii eti ya "Kwa nini umetudanganya". Kipi mlichokitegemea kutoka kwa mtu mnayesema ana utoto kila siku? Hivi, ni nani anatakiwa kuonekana mtoto hapa?
- hahahahahaha so ina maana wewe ni mtoto mdogo au whaat? mbona upo hapa tena unachangia hahahahahahha chezeya Celebrity wewe hahahaha unachangia mwenyewe na kufuatilia bila kujijua U know hahahahahaha
le Mutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Braza hao watu au midoliiiiiiiiiii??.
...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu jamaa mi simuelewagi kabisa yani. Enzi nikiwa nasoma nakumbuka watu kama hawa tuliwaita "KJ" kubwa Jinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa anamshati mkubwa unaofunika vitz
Ohooo!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Lemutuz unapenda sana ofa
Utaolewaaa
Duh!!!!Hivi bado kuna watu mnamtilia maanani huyo mtoto mdogo mwenye mwili mkubwa?
Ohooo!!!Unaishiwa kupigwa mabusu tu .....walaji wengine
Duh!!!Hilo zee tahira ndio maana hataki watoto wake hawamtaki yani wanaona bora wamuite mtu kama harmorapa baba kuliko hili mdananda mzee anayeishi kwa offer za wanaume wenzako, muangalie anavyobisha suala la umri na hadi passport yake anasema hapo umri alidanganya labda kweli kwa maana ya kuupunguza sababu nikipiga mahesabu according kwa miaka 30 aliyokaa marekani plus ameondoka bongo akiwa na miaka 25 +sita ya kukaa bongo basi sasa hivi huyu babu ana miaka 61 yani kwa sharia za bongo huyu ni mstaafu kabisa,tusimnyanyapae huyu babu jamani na hilo tumbo lake lilivyokuwa kubwa basi hata hako kadudu kake kitakuwa kimeshamizwa yeye mwenyewe anakipapasa tu hakioni na ndio maana kila siku anapigwa vibuti na hivyo Vito to vyake vya sinza anavyovidate kama kina nasra international haha na hapa alivyokuwa muoga ataogopa hata kujibu au hata akijibu atasema mimi ni x wife wake sababu ya maneno ya ukweli hahaha
Hapo juu lilikuwa ni jibu langu kwa mtu aliyeuliza swali kama hili ulilouliza mkuu.
Respect.
Una nyota ya mr bean wewe babuuu hhhhhhhh- Kaka kwenye maisha kuna kitu kinaitwa nyota ogopa sana ukiwa nayo unakuwa kama mimi yaani watu wanakufuatilia bila kujijua hahahaha maana unakuwa ni Super Star au Big Celeb. ona sasa page kibao watu wanafuatilia na kujadili huku wanalalamika hahahaha
le Mutuz