bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Jamaa anawachukulia wadada kama wanyama mbugani na ndio sababu unaona anapiga picha kama mtu anabarizi mbuganiHuyu binti namjua sio mchumba wake, namuuliza leMutuz kwa nini asirushe picha alizopiga na mchumba wake? Labda leFiancee ni wa mwendo kasi, hahaha!