Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Huyu Le Mtuz....Le akili kiduchu.......ana hata chumba kimoja maana kila siku yuko Downtown mahotelini kupiga picha
 
Atwambie Vertu ni $ 10000 tu sio $100000

- Ukitumia akili kuangalia picha mbili za kwanza za hiyo simu utagundua kuwa hazifanani, nilizoziona zinauzwa kuanzia usd 100,000 tena uzuri sikuwa peke yangu so relax and enjoy hahahahahahaha

le Mutuz
 
Huyu Le Mtuz....Le akili kiduchu.......ana hata chumba kimoja maana kila siku yuko Downtown mahotelini kupiga picha

- hhahaahahahahhaa niombe radhi mkuu hapa ni my home at downtown so take that back, vipi ukionyesha kwako tupime au? hahahahahahahahha

le Mutuz

- Ukitumia akili kuangalia picha mbili za kwanza za hiyo simu utagundua kuwa hazifanani, nilizoziona zinauzwa kuanzia usd 100,000 tena uzuri sikuwa peke yangu so relax and enjoy hahahahahahaha

le Mutuz
Hapo sawa mkuu maaa naona unaleta ligi na vijana wetu hahahahaha hivi we ndo Lemutuzi kumbe?
 
- hhahaahahahahhaa niombe radhi mkuu hapa ni my home at downtown so take that back, vipi ukionyesha kwako tupime au? hahahahahahahahha

le Mutuz

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Aaaah mm sio Super Star....... King of Social Media.....Le Akili Kubwaz ungekua na nyumba tungeishaiona siku mingi.

Ila big up mkuu unajua kutumia hotel vizuri
 
- hahahahahahahha ina maana somo umelielewa thanks hahahahahahah

le Mutuz
 
Back
Top Bottom