Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

KAMA SODA NI ELFU 10, BIA NI SHS NGAPI?

Btw, nimeshukuru kukufahamu.
 
Yani hili zee kama halijasoma vile wala kuishi nje yani ana mambo ya kishamba sana mzee malechela kala hasara kwa hili jitu

- Kura bataz ubatan na Super star Actress Lulu Michael ni kuwa kama hujasoma? So ukisoma unakula bata z na nani Escrow? hahahahahahahhaha U know

Le Mutuz
 
Kwa mm huwa naona kama anaupungufu wa akili coz mtu mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kama anayofanya huyu tahira wa malechela yan anawaibisha wagogo wenzie😀

- Hahahaahaha upungufu wa akili ni kuja JF kujadili maisha ya wasuikuhusu kwa kutumia majina ya bandia kweli unasema kuna upungufu wa akili kuzidi huo? hahahahahaha U know

Le Mutuz
 
Asubuhi hii keshaongea na Zari na dai!!duu,kawaamsha yeye??
 
Asubuhi hii keshaongea na Zari na dai!!duu,kawaamsha yeye??

- Umekosea hiyo ilikuwa jana asubuhi siku ya Show U know Celelebrities huwa hatulali sana U know cause always kuna simu ya pesa somewhere so unakuwa standbay always

Le Mutuz
 

Jamaa kua ata kidogo basi........acha ushamba bana
 

Ata ungeutaka nani angekupa myb?
 
Jamaa kua ata kidogo basi........acha ushamba bana

- Yaaani kura batazzz na Super Star Actress Lulu ni ushamba na kutokukua? hahahaha unasema kutumia majina ya bandia JF kutukana wanaume usiowajua ndio kukua na sio ushamba na mimi nikue niwe kama wewe? hahahahahahahahah NIFWE LABDA!!

Le Mutuz
 
Wewe kula nao bata tu, unaishia kupata harufu ya papachu tu, lakini hupewi, walaji wamekaa wametulia, Hahaaaa Le Mutuz, le babuzi le beautiful boy.

Sisi hatuna muda mchafu wa kutafuta hao mabibiz kwaajili ya kula bata nao, sisi tunawatafuta kuwala wao.
 
Huyu mzee le mutuz u knowwwwww ni rika sawa na Pinda u knowwww ila mambo yake u knowww kama ya under 17 u knowwwwwwwww!!! sijui wakati wa ujana wake u knowww alikua anafanya nn u knowwww??
 
Umri wako na unayofanya tofauti ndo mana hata kuowa huwezi mana tabia zako za kisenge badilika we mzee mbona baba ako sio mshamba kama ww
 
We jamaa umeshindikana, tunaokubeza na kukuponda tunapenda labda ukasirike hata ujifahamu but we umekalia kucheka tu, Mwishowe umebaki kua unatuburudisha tu wengine na hizo "U know" zako!!
 
Dunno that people hate u or just love to wind u up ,but sure u know how to handle affairs and would be haters-hat off! have fun mkuu, binafsi too would love to hang out with em cute bebez!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…