Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

Hivi ilikuaje ukagombea ubunge wa east Africa@W. J. Malecela? Why are you bahaving like a kid? Ninakumbuka kabla hujaja Tanzania nilikua nasoma post zako humu ndani zilikua zinamshiko sana. But ndugi yangu bishana na watu humu ndani ila badilika kaka.

Hiyo kuhamia new home imefikaje humu?

Jombaa plizz badilika. Hawa wate wanaokubeza wanakupenda sana wanataka ubadilike jombaa.

Hawa wanakusupport wanakupotosha jombaa.

Hivi ungeupata ubunge wa eac ungekua unapst uharo humu??

If the answer is no then try and behave like somebody who once wanted to be an MP for East Africa.
 
- Anza kubadilika wewe kwanza kwa kuacha kufuatilia maisha ya wanaume wengine usiowajua kwa kutumia majina ya bandia ukishadilika on that njoo unishauri nitakusikilia until then nitaendelea kula batazz na kina Super star Actress Lulu kama hutaki kufwa for me!!

Le Mutuz
 
Alafu Kule anamnanga Tibaijuka. ..I question the moral integrity ...nyote wapiga dili

Nawe EAC ulikuwa unapambana kupata dili...
 
View attachment 211991

mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, elizabeth michael aka lulu jana alionekana viwanja vya hilton double tree hotel akiwa anavinjali na mzee mzima le mutuz anaejiita “the king of all bongo social media network”.

wakiwa kwenye viwanja vya hotelini hapo wakiwa wenye nyuso za furaha na mbele yao kuna meza yenye glass mbili za vinywaji, le mutuz ambae jina lake halisi ni wiliam malecela alizitupia picha hizi mtandaoni na wakiwa katika mpozi mbalimbali na kuandika;

“leo ni all my super friend actress super star lulu u know nampendazzzz mpaka naumwa u know she is just sweet
chick u know and smart no nonsense baby! - le mutuz”

chanzo: bongomovies.com

huyo le mutuz ni mshika pembe tu....!
 
Back
Top Bottom