Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Hivi ilikuaje ukagombea ubunge wa east Africa@W. J. Malecela? Why are you bahaving like a kid? Ninakumbuka kabla hujaja Tanzania nilikua nasoma post zako humu ndani zilikua zinamshiko sana. But ndugi yangu bishana na watu humu ndani ila badilika kaka.
Hiyo kuhamia new home imefikaje humu?
Jombaa plizz badilika. Hawa wate wanaokubeza wanakupenda sana wanataka ubadilike jombaa.
Hawa wanakusupport wanakupotosha jombaa.
Hivi ungeupata ubunge wa eac ungekua unapst uharo humu??
If the answer is no then try and behave like somebody who once wanted to be an MP for East Africa.