William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwahiyo unapiga picha kwenye mali za watu ndo unaita maandalizi ya kujenga studio!!!! Yaani ni sawa na mtu aende bandarini na kupiga picha mbele ya makontena halafu anatangaza maandalizi ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi!!
We jamaa mbona unahangaika sana kutaka ku-prove mambo yako yapo safi wakati ukweli ni kwamba mjini unaishi kwa kutegemea blog isiyo na viwango na kujikomba kwa watu?!
Kama angekuwa ni askari wa cheo cha kawaida ingekuwa ameshastaafu manake mwisho ni 55 ambayo huyu jamaa alikuwa anakaribia kuigonga mwaka anaanzisha blog yake!!!
- hii ilikuwa China my babe Finny hahahahahahahahhaa ona vitu hivyo mjinga wewe hahahahahahaha I lov it
le Mutu`
Hivi hii cheni au hirizi?? Maana toka enzi hizo za Mwinyi hadi leo.
[emoji23]
Hahahhahahhhaaa. Wabongo nawagawa bure, aisee😀😀😀😀😀😀Eti wanakupenda!! Hivi we hapo una element yoyote ya kumfanya msichana mdogo akupende?
Body zuri; HUNA!
Pesa, HUNA!
Umri; UMEKUTUPA MKONO!!!
Sasa kitakachowafanya mademu wakupende ni kipi?!!
Narudia, wewe ni urithi wa taifa unaopaswa kuwekwa makumbusho ili watu waje kukuona kwa kukulipa kiingilio!!
Hongera sana
Ila akili yako unaijua qee
Huyu Mzee zamani mi nilikuwa namheshimu sana lakini zee lenyewe halina adabu! Ona post ambayo nilianza kuandika na kuleta yote haya:Jamani heshima tafadhali.Mnajua kuwa mnabishana na mzee umri wa Baba Bashite.
Huyu Ajuza akaibuka alikotokea na kuja na huu ujinga kuijibu hiyo post hapo juu:Umetoa wapi hii na inahusiana nini na hiki ulichoandika hapa chini?
Halafu unaandika:Eti wivu na chuki!!! Yaani we jamaa unaona kila mtu ana wivu na wewe...!! Yaani hata mtu anayejaribu kukushauri unamuona ana wivu na chuki na wewe!!! What's so special ulichonacho cha mtu kukuonea wivu?!
Kama kuwa na blog yenye poor traffic na Instagram Account yenye less than 1M followers nakuonea wivu; Millard Ayo atasemaje nikikutana nae?!
Oh! Millard Ayo nimeenda mbali sana! Jamaa wa Bongo5 au hata Swahili Times watasema nini?!
And trust me, nilikuwa na nia njema sana kwa sababu haya mambo mie ndo nafanyia kazi tena na professionals. Sio professionals wa kibongo, ni professionals kweli kweli!!!- hahahahahha ona maisha yanavyoendelea na makelele yako yote hahahahahaha nipe wiki 3 nitakuwa hewani na Online TV, na hutabadili lolote, tayari nimeshaingia mkataba na Vodacom, ASAS, pamoja na Amariah Hotel. Hao wote uliowataja size yangu ni Millard tu wote tunadhaminiwa na Vodacom, hao wengine nitajie wadhamini wao hahahahahahahhaa
- Pole sana hapa ni ngoma kubwa mkuu wewe piga kelele zako huko vichochoroni sisi huku mjini tunafanya kweli hahahahaha
le Mutuz
Hahahhahahhhaaa. Wabongo nawagawa bure, aisee😀😀😀😀😀😀
Mfupa uliomshinda fisi labda katika kumtetea Bashite! Manake wenzako wooooote hivi sasa wamechoka lakini wewe ukitoka tu hapa, unaenda kuwamwagia mapovu wanaoponda bwana mkubwa wako!!!- Masikini ya Mungu wanahangaika na mfupa uliomshinda fisi nawaonea huruma sana hahahahahahahaa ninaishi maisha yangu, hakuna anayenilipia anything leo mtu analalamika kama vile ninamhusu duh! Wabongo wanataka wakuamulie namna ya kuishi hapa mmekwama ninaishi ninavyotaka na hakuna wa kuniambia lolote enjoy the show tu
le Mutuz
Huyu Mzee zamani mi nilikuwa namheshimu sana lakini zee lenyewe halina adabu! Ona post ambayo nilianza kuandika na kuleta yote haya:
Huyu Ajuza akaibuka alikotokea na kuja na huu ujinga kuijibu hiyo post hapo juu:
And trust me, nilikuwa na nia njema sana kwa sababu haya mambo mie ndo nafanyia kazi tena na professionals. Sio professionals wa kibongo, ni professionals kweli kweli!!!
Nikaona kwavile hili zee halina wa kumshauri kwenye haya mambo ya kisasa ngoja nimpe hint na akiwa interested, niendelee kumpa madini!!
Badala yake, kama ilivyo kawaida yake akaja na kashifa!! Labda linadhani kwavile ni ajuza basi watu hawatajibu mashambulizi yake kwa sababu Kiafrika, ajuza anapaswa kuheshimiwa!!!
Mfupa uliomshinda fisi labda katika kumtetea Bashite! Manake wenzako wooooote hivi sasa wamechoka lakini wewe ukitoka tu hapa, unaenda kuwamwagia mapovu wanaoponda bwana mkubwa wako!!!
- hahahahaha ingekuwa ya kamba kweli ila FINE GOLD unashangaa? hahahahaha kweli humu JF kumejaa malimbukeni so ulidhani Gold inaharibika? hahahahahahhaa
le Mutuz
Asante babu.
- kazana umgawe bure maana mabebezz ndio hawa wanazimikia kila siku hahahahahahahahahhaa poleni sana
le Mutuz
Kwa hiyo miaka 30 imepita umekosa hela ya kununua cheni nyingine ya gold!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwamba huajiriwi na mtu; sema umri wa kuajiriwa umeshakupita!!!!
- hapana mimi sio Askari na siajiriwi na mtu ninajiajiri so take that back hahahahahaha ujenzi unaendelea na soon naruka to South Korea yaani kila kitu kipo under control,
le Mutuz
Asante babu.
UNgekuwa na akili ungeanza kuwashauri JF wafute mfumo wa kutumia nick name lakini kwa kuwa ni mfumo unaokubalika basi ushauri wako hauna maana yoyote ile!!!!
- ungeanza kujishauri kuacha kutumia majina ya bandia kushambulia wanaume usiowajua kwanza hahahahahaha labda ndio utakuwa na akili ya kumshauri mwingine hahahahahahhahahahaa
le Mutuz
Sio kwamba huajiriwi na mtu; sema umri wa kuajiriwa umeshakupita!!!!
Experience yako wewe ni udereva wa malori na kwahiyo mtu akitaka kukupa kazi inayofanana na ulichosomea inabidi uanze as a junior officer! Kwa serikalini, mtu kama huyo anatakiwa awe below 45... umri uliofikisha tangu Mkapa akiwa bado madarakani!!
So, sio kwamba huajiriwi na mtu sema huajiriki na mtu kwa sababu umepitiliza muda wa kuwa na tija!!!
Ndo maana nikakuambia kwamba we mzee bado una kaushamba fulani!! Kwa Dar es salaam hata wakitoa ordha ya watu 500 ya wanaosafiri sana nje ya nchi wewe huwezi kutokea kwenye hiyo orodha lakini watu hawapigi kelele kama wewe!!!
- Tukimaliza Studio ni safari ya South Korea wewe utabaki hapa kupiga piga kelele sisi tunaendelea na maisha hahahahahahaha
le Mutuz