William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kwahiyo unapiga picha kwenye mali za watu ndo unaita maandalizi ya kujenga studio!!!! Yaani ni sawa na mtu aende bandarini na kupiga picha mbele ya makontena halafu anatangaza maandalizi ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi!!
We jamaa mbona unahangaika sana kutaka ku-prove mambo yako yapo safi wakati ukweli ni kwamba mjini unaishi kwa kutegemea blog isiyo na viwango na kujikomba kwa watu?!
- ninajenga studio hiyo hapo, na ninajitayarisha kwenda South Korea kupata elimu zaidi ya haya mambo, so nipo sawa na wala sina wasi wasi
le Mutuz