Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

- hapana sijawahi kwenda mahakama yoyote na anyone, nilienda USA kutafuta maisha nilipopata nilichotaka nikarudi home kama nilivyokwenda
Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!
 
- wewe ndio mjinga kuliko wote humu unasema nini hasa? hahahahahahhaa

le Mutuz
Hilo linaitwa povu bwajabwaja.....fuuuuuuuu!!! Acha longo longo wewe; jibu swali la mdau hapa chini:
Una hakika? Neema na watoto wako wapi? Au yeye sio mwanamke?
Stress za kukimbiwa na mke zimepelekea ujipoze kwa kupiga mapicha na watoto wa kike!!!! Na wallah kama kuna mtu mwenye access na Neema mwambieni wale watoto wa Le Mutuz aliowakimbia kutoa child support wasiwe na Instagram Account manake ni aibu mtoto kuona the man so called father anafanya mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mtoto mwenyewe hayafanyi!!
 
Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!

- yes nilifungua blog kwa USD $ 500 na sasa imekuwa ni kampuni inayotoa ajira kwa Vijana waliomaliza Vyuo Vikuu hapa bongo, nadhani ni akili kubwa sana kuweza kufanya mambo kama hayo na sasa ninaingia kwenye online TV ni kwa sababu nilianza na blog, hahahahahahha wewe je vipi?

le Mutuz
 
Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!
Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.
 
Hilo linaitwa povu bwajabwaja.....fuuuuuuuu!!! Acha longo longo wewe; jibu swali la mdau hapa chini:Stress za kukimbiwa na mke zimepelekea ujipoze kwa kupiga mapicha na watoto wa kike!!!! Na wallah kama kuna mtu mwenye access na Neema mwambieni wale watoto wa Le Mutuz aliowakimbia kutoa child support wasiwe na Instagram Account manake ni aibu mtoto kuona the man so called father anafanya mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mtoto mwenyewe hayafanyi!!

- hahahahahaha sasa umerukia ya neeema unahangaika sana mkuu chagua moja hahahahahahaha by the way neeema ni nani hasa? hahahahahhaa

le Mutuz
 
Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.

- mkuu please wewe una akili sana usipoteze muda na mtu mjinga kama huyu mwanaume anayetafuta habari za wanaume wengine na kuja kuwatukana kwenye JF atakutukana na wewe please, huyu niachie ninamudu cause hana hoja ya msingi ila ni wale wale walioaminishwa ujinga ujinga pole sana mkuu niachie mkuu

le Mutuz
 
- hahahahahaha sasa umerukia ya neeema unahangaika sana mkuu chagua moja hahahahahahaha by the way neeema ni nani hasa? hahahahahhaa

le Mutuz
We ni zwazwa tu!!! Mimi hoja yangu tangu awali ilikuwa ni online tv and blogging as a whole!! Wewe na tabia zako za mipasho, ukahama kwenye issue za blogging na kuleta ujinga ujinga wako!!!

Kwahiyo funga bakuli lako ukiona watu wanatumia lugha zile zile za kipumbavu ulizoanzisha mwenyewe...!!!!
 
acheni kutukanana kama watoto mtu katangaza project zake bd mnamponda acheni watu wafanye maishe yao hata km ww unaona anafanya utoto sehem flan mpongeze kwa hili alilolitangaza sio kuponda tyu hapo anaweza kutoa ajira kwa kijana mi namkubali Lemutuzzz yuko free na open kwa maisha yake sio wengine kujificha zambi kibao
 
Zwa zwa wewe!!! Mimi hoja yangu tangu awali ilikuwa ni online tv and blogging as a whole!! Wewe na tabia zako za mipasho, ukahama kwenye issue za blogging na kuleta ujinga kwahiyo funga bakuli lako ukiona watu wanaongea lugha zile zile ulizoanzisha mwenyewe...!!!!

- mkuu keep on coming mimi nina enjoy this cause ndio kazi yangu, imagine page 30, 20,000 viewers that is more than I could ask for as a Social Media King, mkuu this is all i want so ikifika 30 I am out inatosha maana itaishia kuwa distraction otheriwse I lov this endelea

le Mutuz
 
- nauli ya South Korea vipi mkuu? hgahahahahahahahahahaha
14046029_612400292275706_6916955483054496237_n.jpg
piga kazi mkuu hujaanza kutukanwa leo
 
acheni kutukanana kama watoto mtu katangaza project zake bd mnamponda acheni watu wafanye maishe yao hata km ww unaona anafanya utoto sehem flan mpongeze kwa hili alilolitangaza sio kuponda tyu hapo anaweza kutoa ajira kwa kijana mi namkubali Lemutuzzz yuko free na open kwa maisha yake sio wengine kujificha zambi kibao

- usijali mkuu ila unaonekana una akili sana huyu mjinga asikusumbue hawa ndio watu wanaonisaidia sana kuwa King of this game maana bila yeye hii kitu isingefika page 30, thanks mkuu ila you are too smart for huyu jamaa please hahahaha

le Mutuz
 
Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.
Post yangu iliyozua mjadala wote huu ni hii:
Umetoa wapi hii na inahusiana nini na hiki ulichoandika hapa chini?
Halafu unaandika:Eti wivu na chuki!!! Yaani we jamaa unaona kila mtu ana wivu na wewe...!! Yaani hata mtu anayejaribu kukushauri unamuona ana wivu na chuki na wewe!!! What's so special ulichonacho cha mtu kukuonea wivu?!

Kama kuwa na blog yenye poor traffic na Instagram Account yenye less than 1M followers nakuonea wivu; Millard Ayo atasemaje nikikutana nae?!

Oh! Millard Ayo nimeenda mbali sana! Jamaa wa Bongo5 au hata Swahili Times watasema nini?!
Kuna baya lolote nililoandika hapo?! Lakini pamoja na yote hayo; unajua alichojibu?

Kama hujui chanzo wacha kutetea wazee wenye akili za hovyo hovyo kama huyu babu!!!!
 
Post yangu iliyozua mjadala wote huu ni hii:Kuna baya lolote nililoandika hapo?! Lakini pamoja na yote hayo; unajua alichojibu?

Kama hujui chanzo wacha kutetea wazee wenye akili za hovyo hovyo kama huyu babu!!!!
10830539_412206785628392_9112145949702190089_o.jpg

- hahahahahahaa wewe piga kelele za mlango ila hubadili anything ni kelelele tu good for my business please endelea tufikishe page 30 please

le Mutuz
 
- mkuu keep on coming mimi nina enjoy this cause ndio kazi yangu, imagine page 30, 20,000 viewers that is more than I could ask for as a Social Media King, mkuu this is all i want so ikifika 30 I am out inatosha maana itaishia kuwa distraction otheriwse I lov this endelea

le Mutuz
Angalia ulivyo kilaz.a!! Eti social media king...!! Yaani kwavile watu wameamua kukupotezea unavyojiita kwamba ni social media king ndo basi tena ushajiona ndo kweli ni social media king!!!

Una followers wangapi instagram?

Engagement rate kwenye post zako ipoje?

Unapata likes kutoka kwenye posts zako?

Una Followers wangapi Tweeter?

Rate ya Retweet kutoka kwenye posts zako ikoje?

Una friends wangapi au like ngapi Facebook?

Engagement rate na audience ipoje?!

Wanagapi wame-subscribe kwenye Youtube Channel yako?!

Engagement rate yako ipo vipi?

Average views per content iko vipi?

Sijataja social networks zingine ambazo hazina umaarufu Tanzania!!!!

Hivi ukiji-evaluate wewe mwenyewe unaamini kabisa unastahili kujiita Social Media King?!

Duniani kuna kitu kinaitwa social media influencers!!!!

Kwavile kuna indicators za ku-evaluate viable social media influencers; hata kwenye top 10 social media influencers wewe huwezi kutokea!!!!

Kwahiyo endelea tu kujiita social media king lakini kwa wanaofahamu haya mambo wanakuona juh'a tu!!!
 
10830539_412206785628392_9112145949702190089_o.jpg

- hahahahahahaa wewe piga kelele za mlango ila hubadili anything ni kelelele tu good for my business please endelea tufikishe page 30 please

le Mutuz
Kwahiyo ukifikisha page 30 ndo unapata pesa?! Ulivyo zuzu wala hufahamu kwamba hoja yako hiyo ingekuwa na maana endapo mjadala ungekuwa kwenye kale ka-blog kako!!
 
Swahili TV na FM zimeishia wapi hadi kakurupuka kuanza na kitu kingine?
Afanye uwekezaji awape VIJANA tu Ajira, ila naamini will not work for a long run.

Game/business through on line, kuna changamoto nyingi, things are easy the way it look like..

Kama ni kweli Le Mutuzz amefeli kwenye swahili tv na fm,
What he expect then...!!?

Kibayakasi aliyokuja nayo, namaanisha ushawishi alokuwa nao before, kwa sasa hana tofauti na Mange Kimambi..

Watu wamewachoka, na hii ni baada ya wao wote kujiingiza kwenye POLITICS..

Kila la kheri Le Mutuzz, japo ni kama naiona kitakacho trend kwenye TV yako, there are going to be a lot of advertisment.

Hili halito kuwa kosa lako, any business must have returns..

Keepit up USA baby..!!
 
Angalia ulivyo kilaz.a!! Eti social media king...!! Yaani kwavile watu wameamua kukupotezea unavyojiita kwamba ni social media king ndo basi tena ushajiona ndo kweli ni social media king!!!

Una followers wangapi instagram?

Engagement rate kwenye post zako ipoje?

Unapata likes kutoka kwenye posts zako?

Una Followers wangapi Tweeter?

Rate ya Retweet kutoka kwenye posts zako ikoje?

Una friends wangapi au like ngapi Facebook?

Engagement rate na audience ipoje?!

Wanagapi wame-subscribe kwenye Youtube Channel yako?!

Engagement rate yako ipo vipi?

Average views per content iko vipi?

Sijataja social networks zingine ambazo hazina umaarufu Tanzania!!!!

Hivi ukiji-evaluate wewe mwenyewe unaamini kabisa unastahili kujiita Social Media King?!

Duniani kuna kitu kinaitwa social media influencers!!!!

Kwavile kuna indicators za ku-evaluate viable social media influencers; hata kwenye top 10 social media influencers wewe huwezi kutokea!!!!

Kwahiyo endelea tu kujiita social media king lakini kwa wanaofahamu haya mambo wanakuona juh'a tu!!!
10955680_390358997813171_8023044971578825204_n.jpg

- hahahahahahaa wewe piga kelele weee mpaka ulie machozi, Social Media is my field ndiyo inayonipa mkate na nitaendelea mpaka nifikie kumiliki Radio na TV, ndiko ninakoelekea wewe piga kelele hapa pole sana hahahahahaha, nitatoa ajira na ukitaka utapewa ajira hahahahahahha,

le Mutuz
 
Afanye uwekezaji awape VIJANA tu Ajira, ila naamini will not work for a long run.

Game/business through on line, kuna changamoto nyingi, things are easy the way it look like..

Kama ni kweli Le Mutuzz amefeli kwenye swahili tv na fm,
What he expect then...!!?

Kibayakasi aliyokuja nayo, namaanisha ushawishi alokuwa nao before, kwa sasa hana tofauti na Mange Kimambi..

Watu wamewachoka, na hii ni baada ya wao wote kujiingiza kwenye POLITICS..

Kila la kheri Le Mutuzz, japo ni kama naiona kitakacho trend kwenye TV yako, there are going to be a lot of advertisment.

Hili halito kuwa kosa lako, any business must have returns..

Keepit up USA baby..!!

- nonesense!

le Mutuz
 
Kwahiyo ukifikisha page 30 ndo unapata pesa?! We jamaa kwavile unawadanganya wale misukule wako wa Instagram unadhani kila mtu ni msukule wakati wengine tunakuona kituko tu!!!

It's funny huu mjadala upo JF manake ingekuwa ni kwenye page yako ungekuwa ushani-block kitambo ili ubaki na misukule tupu uweze kuwadanganya!!!

- hapana ninapokwenda kufanya interview ya kazi zangu za Social Media huwa ninawaambia kuhusu how popular I am, so huwa ninawaonyesha JF kuwa tizama hakuna mjadala unaonihusu ambao upo chini ya page 10, hakuna mtu wa Social Media ambaye hajui how tough kujadiliwa kwa page 10 ilivyo hapa JF,

- so ndio maana ninakuambia hapa ikifikia page 30 inatosha cause inanipa nguvu ya kusema mpaka leo 2017 sasa ndio kabisa ninafikia mpaka page 30 JF, hahahahahahaha pole sana nilikuambia hii game huijui

le Mutuz
 
Back
Top Bottom