Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!- hapana sijawahi kwenda mahakama yoyote na anyone, nilienda USA kutafuta maisha nilipopata nilichotaka nikarudi home kama nilivyokwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!- hapana sijawahi kwenda mahakama yoyote na anyone, nilienda USA kutafuta maisha nilipopata nilichotaka nikarudi home kama nilivyokwenda
Hilo linaitwa povu bwajabwaja.....fuuuuuuuu!!! Acha longo longo wewe; jibu swali la mdau hapa chini:- wewe ndio mjinga kuliko wote humu unasema nini hasa? hahahahahahhaa
le Mutuz
Stress za kukimbiwa na mke zimepelekea ujipoze kwa kupiga mapicha na watoto wa kike!!!! Na wallah kama kuna mtu mwenye access na Neema mwambieni wale watoto wa Le Mutuz aliowakimbia kutoa child support wasiwe na Instagram Account manake ni aibu mtoto kuona the man so called father anafanya mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mtoto mwenyewe hayafanyi!!Una hakika? Neema na watoto wako wapi? Au yeye sio mwanamke?
Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!
Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.Kwahiyo TZ to USA ukafanikiwa kurudi na mtaji wa kufungulia blog!!!! We kweli zwazwazwa!!!
Hilo linaitwa povu bwajabwaja.....fuuuuuuuu!!! Acha longo longo wewe; jibu swali la mdau hapa chini:Stress za kukimbiwa na mke zimepelekea ujipoze kwa kupiga mapicha na watoto wa kike!!!! Na wallah kama kuna mtu mwenye access na Neema mwambieni wale watoto wa Le Mutuz aliowakimbia kutoa child support wasiwe na Instagram Account manake ni aibu mtoto kuona the man so called father anafanya mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mtoto mwenyewe hayafanyi!!
Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.
We ni zwazwa tu!!! Mimi hoja yangu tangu awali ilikuwa ni online tv and blogging as a whole!! Wewe na tabia zako za mipasho, ukahama kwenye issue za blogging na kuleta ujinga ujinga wako!!!- hahahahahaha sasa umerukia ya neeema unahangaika sana mkuu chagua moja hahahahahahaha by the way neeema ni nani hasa? hahahahahhaa
le Mutuz
Zwa zwa wewe!!! Mimi hoja yangu tangu awali ilikuwa ni online tv and blogging as a whole!! Wewe na tabia zako za mipasho, ukahama kwenye issue za blogging na kuleta ujinga kwahiyo funga bakuli lako ukiona watu wanaongea lugha zile zile ulizoanzisha mwenyewe...!!!!
piga kazi mkuu hujaanza kutukanwa leo- nauli ya South Korea vipi mkuu? hgahahahahahahahahahaha![]()
acheni kutukanana kama watoto mtu katangaza project zake bd mnamponda acheni watu wafanye maishe yao hata km ww unaona anafanya utoto sehem flan mpongeze kwa hili alilolitangaza sio kuponda tyu hapo anaweza kutoa ajira kwa kijana mi namkubali Lemutuzzz yuko free na open kwa maisha yake sio wengine kujificha zambi kibao
Post yangu iliyozua mjadala wote huu ni hii:Mkuu inabidi ufike mahali u-appreciate anachokifanya mwenzako,hasahasa ubunifu,hiyo blog ataajiri watu wengi na hao watu wanategemewa na ndugu na jamaa zao,kwanini usi-appreciate juhudi za huyo jamaa.. wangapi hiyo milioni 40 ambazo anawekeza kwenye huo mradi watakufa bila hata kuzishika.. tena na wengine unakuta wako humu wanaandika shit.. ifike mahali tutambue juhudi za wenzetu.
Kuna baya lolote nililoandika hapo?! Lakini pamoja na yote hayo; unajua alichojibu?Umetoa wapi hii na inahusiana nini na hiki ulichoandika hapa chini?
Halafu unaandika:Eti wivu na chuki!!! Yaani we jamaa unaona kila mtu ana wivu na wewe...!! Yaani hata mtu anayejaribu kukushauri unamuona ana wivu na chuki na wewe!!! What's so special ulichonacho cha mtu kukuonea wivu?!
Kama kuwa na blog yenye poor traffic na Instagram Account yenye less than 1M followers nakuonea wivu; Millard Ayo atasemaje nikikutana nae?!
Oh! Millard Ayo nimeenda mbali sana! Jamaa wa Bongo5 au hata Swahili Times watasema nini?!
piga kazi mkuu hujaanza kutukanwa leo
Post yangu iliyozua mjadala wote huu ni hii:Kuna baya lolote nililoandika hapo?! Lakini pamoja na yote hayo; unajua alichojibu?
Kama hujui chanzo wacha kutetea wazee wenye akili za hovyo hovyo kama huyu babu!!!!
Angalia ulivyo kilaz.a!! Eti social media king...!! Yaani kwavile watu wameamua kukupotezea unavyojiita kwamba ni social media king ndo basi tena ushajiona ndo kweli ni social media king!!!- mkuu keep on coming mimi nina enjoy this cause ndio kazi yangu, imagine page 30, 20,000 viewers that is more than I could ask for as a Social Media King, mkuu this is all i want so ikifika 30 I am out inatosha maana itaishia kuwa distraction otheriwse I lov this endelea
le Mutuz
Kwahiyo ukifikisha page 30 ndo unapata pesa?! Ulivyo zuzu wala hufahamu kwamba hoja yako hiyo ingekuwa na maana endapo mjadala ungekuwa kwenye kale ka-blog kako!!![]()
- hahahahahahaa wewe piga kelele za mlango ila hubadili anything ni kelelele tu good for my business please endelea tufikishe page 30 please
le Mutuz
Afanye uwekezaji awape VIJANA tu Ajira, ila naamini will not work for a long run.Swahili TV na FM zimeishia wapi hadi kakurupuka kuanza na kitu kingine?
Angalia ulivyo kilaz.a!! Eti social media king...!! Yaani kwavile watu wameamua kukupotezea unavyojiita kwamba ni social media king ndo basi tena ushajiona ndo kweli ni social media king!!!
Una followers wangapi instagram?
Engagement rate kwenye post zako ipoje?
Unapata likes kutoka kwenye posts zako?
Una Followers wangapi Tweeter?
Rate ya Retweet kutoka kwenye posts zako ikoje?
Una friends wangapi au like ngapi Facebook?
Engagement rate na audience ipoje?!
Wanagapi wame-subscribe kwenye Youtube Channel yako?!
Engagement rate yako ipo vipi?
Average views per content iko vipi?
Sijataja social networks zingine ambazo hazina umaarufu Tanzania!!!!
Hivi ukiji-evaluate wewe mwenyewe unaamini kabisa unastahili kujiita Social Media King?!
Duniani kuna kitu kinaitwa social media influencers!!!!
Kwavile kuna indicators za ku-evaluate viable social media influencers; hata kwenye top 10 social media influencers wewe huwezi kutokea!!!!
Kwahiyo endelea tu kujiita social media king lakini kwa wanaofahamu haya mambo wanakuona juh'a tu!!!
Afanye uwekezaji awape VIJANA tu Ajira, ila naamini will not work for a long run.
Game/business through on line, kuna changamoto nyingi, things are easy the way it look like..
Kama ni kweli Le Mutuzz amefeli kwenye swahili tv na fm,
What he expect then...!!?
Kibayakasi aliyokuja nayo, namaanisha ushawishi alokuwa nao before, kwa sasa hana tofauti na Mange Kimambi..
Watu wamewachoka, na hii ni baada ya wao wote kujiingiza kwenye POLITICS..
Kila la kheri Le Mutuzz, japo ni kama naiona kitakacho trend kwenye TV yako, there are going to be a lot of advertisment.
Hili halito kuwa kosa lako, any business must have returns..
Keepit up USA baby..!!
Kwahiyo ukifikisha page 30 ndo unapata pesa?! We jamaa kwavile unawadanganya wale misukule wako wa Instagram unadhani kila mtu ni msukule wakati wengine tunakuona kituko tu!!!
It's funny huu mjadala upo JF manake ingekuwa ni kwenye page yako ungekuwa ushani-block kitambo ili ubaki na misukule tupu uweze kuwadanganya!!!