Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

20140928_154451.jpg
Hahaaaaaaah naona umeanza kurudiarudia picha...vipi zimeshaisha nini
 
14141829_616109735238095_6811133972074514273_n.jpg


- le super kiss mubasharazzzzz hahahahahahaha I lov it U know hahahahahaha, le mbebezz ni soft kama cotton

le Mutuz
Ji-dume/baba ZIMA umevaa Cheni ya Dhahabu, kiasi inakuletea "ALEJI"..

Cheki Shingo ilivyo ota UKUNGU...ama HUOGI...!!?
Aaaaa Kubwa zuzu, not to that extent..!
 
Kwahiyo huyu ndo demu wako sio? Au nae uliishia kupiga nae picha tu?!

Ndo maana ukikutana na mademu mafyatu kama yule wa Mwanza wanakuchana live!! Umeondoka Dar na uzwazwa zwazwa wako hadi Mwanza na kupiga picha na demu wa mtu na ku-post instagram kama ilivyo tabia yako!!

Demu wacha akutolee uvivu!! Unadhani kila mmoja anapenda drama...
Kina dem mwingine wa Karatu anamiliki pub moja maarufu hapo Karatu nae hakutaka usenge wa huyu jamaa,alimchana live *****
 
Back
Top Bottom