kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Le tumbozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuMzee malecela atakuwa anajutia kupoteza manii zake kupata huyu Le Tumbozi ni Bora angepigia nyeto
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hapo ni kwenye corridor ama vipi mkuu? Umekosa kabisa ofisi inayoeleweka bosi?
Mzee malecela atakuwa anajutia kupoteza manii zake kupata huyu Le Tumbozi ni Bora angepigia nyeto
Sent From My Nokia Ya Tochi
Le mutuz fanya hima uoe mke awe anakupikia sio kila siku waenda the chef pride kula happy hours saa nne usiku buku tatu misosi iliyoshindikina kuuzwa hotelini... sipati picha saa nne usiku unakula dinner hivi si unakuwa na usingizi? Unatafuna wali huku umefumba macho... hiyo happy hours hapo hotel ni kwa ajili ya wanafunzi wa cbe na ifm unamaliza lesho za wajukuu zako... vitu vya bei rahisi vitakuua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Le mutuz fanya hima uoe mke awe anakupikia sio kila siku waenda the chef pride kula happy hours saa nne usiku buku tatu misosi iliyoshindikina kuuzwa hotelini... sipati picha saa nne usiku unakula dinner hivi si unakuwa na usingizi? Unatafuna wali huku umefumba macho... hiyo happy hours hapo hotel ni kwa ajili ya wanafunzi wa cbe na ifm unamaliza lesho za wajukuu zako... vitu vya bei rahisi vitakuua
Ohoooo!!!Aliniacha hoi siku kampost kama sio miraj,ridhiwan, af anasema "with childhood friend"[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndo mhanga aliyena uzee mwisho chalinze
Oh oo oo!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mzee malecela atakuwa anajutia kupoteza manii zake kupata huyu Le Tumbozi ni Bora angepigia nyeto
Sent From My Nokia Ya Tochi
Le tumbozi
Kuna wazee wengine akili kisoda wanaona ujanja kupiga vipicha na wake za watu na kuja kusambaza mitandaoni.
-Ndumilakuwili-
Nakupenda bure le mbebezi namie ntakuja tupige pic au vp achana na wanaokuonea wivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupenda bure le mbebezi namie ntakuja tupige pic au vp achana na wanaokuonea wivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana babe hayo ndo maendeleo big upView attachment 557943
- KAribu sana babe ndio tumemaliza ujenzi wa Studio sasa ni kupanga vifaa na kuanza kazi rasmi hahahaha U know
le Mutuz
Huo ukaribu wa Aina gani maana huyo Mwarabu anasifa za kuwakamua wanaomfuata fuata haswa wenye mizigo nyuma kama lako...- Chef Pride ni hoteli ipo karibu na nyumbani kwangu na inamilikiwa na Mshikaji wangu wa karibu sana, umekosea sana ni kwamba huwa silipi pale hata siku moja nikiamua ninaenda ninakula bure, mmiliki wa ile hotel aliwahi kukwama nikiwa ninaishi New York nikamsaidia sana bila kumjua, ndio maana pale ni nyumbani kwangu
- Wewe umeniona juzi nilitoka ofisini late nikapitia pale, ila pole sana mwanaume mzima kuzunguka zunguka mahotelini kuangalia wanaume wengine wanakula na kuja kanduka JF hahahahaha duh ninataka kuamini wewe ni mwanamke maana ukiwa mwanaume itanisikitisha sana hahahahahahaa
le Mutuz
Ngoja aje bado yupo lodge TandaleHuo ukaribu wa Aina gani maana huyo Mwarabu anasifa za kuwakamua wanaomfuata fuata haswa wenye mizigo nyuma kama lako...
Sasa unakula bure kivipi? There is no free lunch, Na juzi umelipa tena umeuliza kabisa bei gani chakula ukaambiwa elfu Tatu ukafurahi ati nina njaa sana na mboga za majani niwekee... unakuja huku unabana pua ati najuana sana na Mwarabu tokea US Kwahiyo ulimsaidia kulala nae au ndio alisababisha mkeo akukimbie maana Heleni sikioni umeacha kuvaa...
Ati karibu na nyumbani! Kwani bado unaishi na wazazi pale Sea view duh? Waziri wa mazingira anawavutia pumzi tu eneo lote linatakiwa libomolewe ni karibu na bahari... sijui utenda Dodoma?