Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Hivi kazi yako nikuzunguka na kupiga picha na warembo
upload_2017-8-9_19-50-26.jpeg


- Hahahahaha anyways msingi wa thread ilikuwa kuhusu my new Studio for Online TV, huu ndio muonekano wake sasa hivi by next week tutakuwa hewani so kama tulivyoahidi tupo sawa sawa hahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahaha nilimtongoza mwanamke akasema hana bwana nikamuambia nakurusha instagram nione kama huna bwana kweli, huyo jamaa yako akapiga simu kulia lia nimtoe nimfahamisha mbebezz akasema sio bwana wake tena, unataka nimtaje hahahaha na demu nipo naye mpaka leo, pole sana na huyo msanii nilimuambia wacha Mwanamke aseme wewe bwana wake sio wewe huwajui wasichana sometimes, nikamuuliza kama anataka nimuambie aliyoaysema yule mbebezz nilipomuambia kuwa bwana kanipigia, jamaaa akasema yaishe hahahahaha pole sana hahahahahahah

le Mutuz
Hahahaha mbona huwa huongei ulichofanyiwa kijitonyama

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
- hiyo ni picha na mama yangu marehemu mama yangu mzazi, aliyeipost ni mimi so sio kwamba iliibiwa hapana ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye baada ya miaka mingi niliyokuwa majuu, hahahaha jina lako la bandia picha sio yako hahaha kuna binadam mlizaliwa bwana hahahahaha

le Mutuz
Siwezi kupoteza muda wangu kupitia hicho kisite chako ni bora nitembelee site za X
View attachment 561944

- Hahahahaha anyways msingi wa thread ilikuwa kuhusu my new Studio for Online TV, huu ndio muonekano wake sasa hivi by next week tutakuwa hewani so kama tulivyoahidi tupo sawa sawa hahahahaha

le Mutuz


Sent From My Nokia Ya Tochi
 
- hahahaha Kijitonyama ni wapi hasa? hahahahaha lakini umeeleewa maelezo yangu kuhusu rafiki yako au unataka niweke picha hapa uamini ninayosema kuwa bado nipo na yule demu? hahahahahha

le Mutuz
Huna uwezo wa kuweka kwa sababu unajua ulichofanywa kubwa jinga wewe

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
View attachment 561953

- Saa hizi nipo Beach napumzika na mama yako mdogo U know so see you kesho hahahahahaha

le Mutuz
Hahahaha babu wenzako hao mademu tumewachezea tangu tupo under 18 hahaha wewe umeanza ukiwa na miaka 60...



Hhhhahaha anza kutubu maana nasikia show moja huwa unahema Kama usain bolt

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Back
Top Bottom