Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)


- Chef Pride ni hoteli ipo karibu na nyumbani kwangu na inamilikiwa na Mshikaji wangu wa karibu sana, umekosea sana ni kwamba huwa silipi pale hata siku moja nikiamua ninaenda ninakula bure, mmiliki wa ile hotel aliwahi kukwama nikiwa ninaishi New York nikamsaidia sana bila kumjua, ndio maana pale ni nyumbani kwangu

- Wewe umeniona juzi nilitoka ofisini late nikapitia pale, ila pole sana mwanaume mzima kuzunguka zunguka mahotelini kuangalia wanaume wengine wanakula na kuja kanduka JF hahahahaha duh ninataka kuamini wewe ni mwanamke maana ukiwa mwanaume itanisikitisha sana hahahahahahaa

le Mutuz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

-Ndumilakuwili-
 
Kuna wazee wengine akili kisoda wanaona ujanja kupiga vipicha na wake za watu na kuja kusambaza mitandaoni.

-Ndumilakuwili-
 
Kuna wazee wengine akili kisoda wanaona ujanja kupiga vipicha na wake za watu na kuja kusambaza mitandaoni.

-Ndumilakuwili-


- hahahahahha kuna aliyelalamikia picha na watoto wa Kikwete hahahaha hii hapa mojawapo niambie una tatizo gani mkuu? hahahahaha wewe nimekuambia ninatoa ajira hapa karibu sana kama huna ajira

le Mutuz
 
Huo ukaribu wa Aina gani maana huyo Mwarabu anasifa za kuwakamua wanaomfuata fuata haswa wenye mizigo nyuma kama lako...

Sasa unakula bure kivipi? There is no free lunch, Na juzi umelipa tena umeuliza kabisa bei gani chakula ukaambiwa elfu Tatu ukafurahi ati nina njaa sana na mboga za majani niwekee...ulilipa sababu hukumuona? unakuja huku unabana pua ati najuana sana na Mwarabu tokea US Kwahiyo ulimsaidia kulala nae au ndio alisababisha mkeo akukimbie maana Heleni sikioni umeacha kuvaa...

Ati karibu na nyumbani! Kwani bado unaishi na wazazi pale Sea view duh? Waziri wa mazingira anawavutia pumzi tu eneo lote linatakiwa libomolewe ni karibu na bahari... sijui utenda Dodoma?
 
Ngoja aje bado yupo lodge Tandale

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…