- Sina umaarufu wa kulipwa na cocacola na huku wananilipa mbona unajichanganya mkuu? mengine yote upo sawa ila hapo tu, huwezi kuwa na followers 36,000 Instagram kama sio maarufu, huwezi kuwa na Blog inayopitiwa na WAtu Millioni 7 na nusu kwa mwaka kama sio maarufu, huwezi kupata page 10 hapa JF kama sio maarufu, please niombe radhi mkuu!!
Le Mutuz
- Sina umaarufu wa kulipwa na cocacola na huku wananilipa mbona unajichanganya mkuu? mengine yote upo sawa ila hapo tu, huwezi kuwa na followers 36,000 Instagram kama sio maarufu, huwezi kuwa na Blog inayopitiwa na WAtu Millioni 7 na nusu kwa mwaka kama sio maarufu, huwezi kupata page 10 hapa JF kama sio maarufu, please niombe radhi mkuu!!
Le Mutuz
coca wanakulipa kwa kazi gani
Aisee wewe kumbe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Eti nimwombe mtu aanzishe sredi yangu, hivi wewe kwa akili yako unadhani kila mtu ana haja ya kuwa maarufu? Kwa kukusaidia tu ni kuwa mimi sio maarufu na wala sina haja ya kuwa maarufu.- Nilidhani utajiongela wewe kuwa ni maarufu kumbe unaongelea wengine? ok Kustahili kulipwa na Cocacola au kampuni yoyote ile anayeamua ni nani wewe au wenye kampuni? Unaongea ujinga sana unasema followers 36,000 sio maarufu wewe una wangapi? I mean naamini hujaelewa maana ya mtu maarufu mimi sio sawa na wewe ndio maana unatumia jina la bandia mimi natumia langu mwenyewe ndio tofauti ya mtu maarufu na asiyekuwa,
- Muombe mtu aanzishe thread yako hapa tuone utapata page ngapi kama sio comment yako mwenyewe ona mimi mpaka wewe umeacha kazi zako kuja kunishupalia ndio maana ya Super Star Celebrity U know hahahaha tuliza boli mimi ni Super Star wewe sio ndio maana unalia lia maana unajua wewe sio!!
- Jokate ni Super Star anawajua wenziwe nenda page yake Instagram utaona wale wote wanaowajua ni Celebrity kama yeye kawapa Sandals zake mpya nenda uangalie vizuri utakuta nipo, wacha utoto kubali ukweli wewe sio ndio maana Jokate hajakupa Sandals zake mpya ok!!
Le Mutuz
Aisee wewe kumbe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Eti nimwombe mtu aanzishe sredi yangu, hivi wewe kwa akili yako unadhani kila mtu ana haja ya kuwa maarufu? Kwa kukusaidia tu ni kuwa mimi sio maarufu na wala sina haja ya kuwa maarufu.
Le baharia wewe umaarufu wako ni mdogo sana kubali au kataa. Na hii haina uhusiano na mimi ni maarufu kiasi gani. Huu uzi unakuhusu wewe, mimi sihusiki.
Ni watu pekee wenye akili za Le Mutuz Le mburulaz wanaweza kumpinga Msando. Msando yuko sahihi asilimia Mia.
- Anayelala kwa kujificha ni nani hapa anayetumia ID yake au anayeficha? hahahahahahaha
Le Mutuz
Suala la kuficha ID nakujificha wakati wa kulala vina uhusiano gani?
Nachekaga Sana watu kujifanya wa mjini kitambo halafu hao wanaoitwa wa bush wanakula gud life.
Umeona wanabaki kujifariji tu oh mm born town halafu anaishi kwa baba yake ugali wa shikamoo
Arguments zenu za kipuuzi kabisa mnakuwa hamna tofauti hata na hao, hivi kwa akili zako huoni kama hao hao macelebrities wa Tz mnaodai hawawezi kuinfluence mauzo ya Coca ndo wamefanya mpaka sasa mamia elfu ya watanzania wajue kuwa kuna makopo yenye majina?
Huoni kama kwa kulitambua hilo kutafanya hao mamia elfu ya watu kukimbilia kununua izo Coca ili wapate majina ya wawapendao wawape kama zawadi? Unadhani Coca cola wao wajinga kuanza na hao macelebu? hawakuwa na uwezo wa kuyamwaga tu hayo makopo madukani yakiwa na hizo common names bila kuanza na watu mashuhuri?
Na huu utaratibu wasanii wetu wasiiukubali hata kama ulisha fanyika huko ulaya!
Kwanini usinmlipe wakati unatumia jina lake kutengeneza hela.
Kumbe umeyajua makopo yenye majina kupitia kwa hao maselebu. Wenyewe ndo wanakuhabarisha siyo eh?
They are not forced to "Share A Coke". They can keep their names to themselves kama wakitaka.
KSasa hivi royal family wako kwenye mpango wa kutafuta IP ya sura na majina yao ili hao jamaa wawalipe kutumia sura zao.