Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimefatilia huu uzi kwa makini na nimechangia kadri ya uwezo wangu lakini nimeona nikueleze wewe ni mtu mzima huu UONGO unaoandika humu si mzuri. Hii campaign ilianzia Australia, it was a simple campaign na imewezeshwa kwenye zaidi ya nchi 70 mpaka sasa na hakuna hata mtu mmoja aliyelipwa kupitia campaign hii sasa wewe ni nani hasa mpaka ulipwe?
Ahaaaa...sasa kama hakuna hata mtu mmoja aliyelipwa kupitia hiyo kampeni hivi vilio vya sijui wasanii wa kibongo kunyonywa na Coca-Cola kwa sababu ya ujinga vinatoka wapi?
Nadiriki kusema hivyo vilio vinatokana na ujinga kuliko hata huo unaodaiwa kuwa ni ujinga wa wasanii wa kibongo.
Hii siyo endorsement campaign, period, of story.
