Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mkuu ukitaka kujua hawajielewi cheki hapo chini sababu ni tofauti na unachosema kwamba majina yao hayatotumika kwenye kopo za mtaaniNilivyoelewa baada ya maelezo ya W. J. Malecela, Coka wamewachukua maceleb kwenye uzinduz na kuwapa personalised Le Kopoz kama token.
As it looks, wanazouza zina majina ya kawaida kabisa tena moja moja. Mfano kwa Tz unaeza kuta Mrisho, Benjamin, Ali, Julius, etc. Kwa maelezo ya Le Mutu, hutakuta Le kopo la koka la Le Mutu likiuzwa kitaa.
Hiyo ndo Albert alikataa wasanii 'wake' wasikubali. Mfano ukute Le Kopo la Kidoti, AY, MwanaFA, etc. Hiyo itaenda moja kwa moja kwenye kuhitaji mikataba na malipo.
To that extent, kuna yoyote mwenye ushahidi wa jina la staa ambalo si common name, hata huko nje, lililotumika madukani ukiacha lile Le Kopoz la token?
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=11639115
Last edited by a moderator:
