Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
- got you maan huo juu ndio ukweli wa what happened, huyo dogo ni Mwanasheria wa Zitto sasa nashangaa kwamba Zitto ana hela kuliko yeye lakini sijasikia akitukana mtu, kijana pesa kidogo tu utadhani anamlipia mtu maisha hapa mjini kumbe wala kila mtu hapa mjini anakula kwa urefu wa kamba yake mamen U know the deal!!

Le Mutuz

Acha unafki umetukanwa WAP?
 
- Kwa mfano bidhaa gani ya Cocacola niliyoitangaza bila malipo?

Le Mutuz

Unadhan kuandikwa jina lako kwenye kopo lao unafanya nn kama sio advertisement yao?
Dude kumbe hujui hata unachokifanya?
All u care is fame ?duuuu
 
- Ameandika matusi mengi sana na lugha za chooni kwa Mwanasheria anayetakiwa kutafuta clients, sasa unapataje clients kwa kuwatukana?

Le Mutuz

Acha unafki bwana William malecela wote tumeona post na comment za msando so hauna haja ya kuendelea kudanganya umma
 
Unadhan kuandikwa jina lako kwenye kopo lao unafanya nn kama sio advertisement yao?
Dude kumbe hujui hata unachokifanya?
All u care is fame ?duuuu

Dizaini unatamani sana na wewe jina lako lingeandikwa.

Too bad nobody gives a rats azz about yo azz:becky::becky::becky::becky:
 
Unadhan kuandikwa jina lako kwenye kopo lao unafanya nn kama sio advertisement yao?
Dude kumbe hujui hata unachokifanya?
All u care is fame ?duuuu

- Baada ya kuliona lile kopo hii kampuni ya American Engineering Group Inc, wakanipa mkataba mpya wa kuwatangaza Juzi Jumatano kwa Mwaka mmoja, jana nimesaini mktaba mpya na One Extreme Solutions TZ kuwatangaza for the next 2 years kwa sababu ya kuwa na kopo lenye jina langu, poleni sana msio na uwezo mkubwa wa kufikiri maana ni rahisi kuamini wengine wote tupo na akili finyu kama wewe, duh!!

Le Mutuz
 
Acha unafki bwana William malecela wote tumeona post na comment za msando so hauna haja ya kuendelea kudanganya umma

- so baada ya kuona ukweli wangu sasa umebadilika sio nyinyi jana mliokuwa mnaweka matusi ya huyo mpuuzi hapa?

Le Mutuz
 
Unajua maana ya advertisement?
Kwann wanawatumia watu mashuhuri wacheza Moira,wanamuziki kutangaza biashara Zao?
Kama ni kweli kwann wanatumia billions kuandaa matangazo ?nadhan ubongo wako umeganda

hahahah haya wa kwako umeyeyuka ,fatilia uone kama kuna hata sh kumi wanachukua
 
Hivi hapa tunaelimishana au watu wanashusha stress zao?

- Well, ukweli ni kwamba kuna wanaorukia tu ishus bila kuwa na uhakika wa wanachokisema, kuanzia huyo Mwanasheria mpaka watu wengi humu nashangaa Mwanasheria anasema eti mimi nina miaka 56 kwa hiyo akili yangu haiko sawa, na analinganisha tena umri huo huo na baba yake, sasa najiuliza kwa maneno hayo ina maana baba yake hana akili sawa sawa like kama ningekuwa na miaka 56 sasa unaniambia huyu jamaa ni Mwanasheria kweli? duh!! Only in Tanzania

Le Mutuz
 
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja

Kweli wewe haujui mtu unaemuongelea
 
- Hii picha nilipiga na wafanyakazi wa ICL Miezi 2 iliyopita siku nilipokwenda kusaini mkataba mpya na ICL ambao ndio handlers wa Cocacola, baada ya makubaliano wakaniomba nihudhurie party yao hii hapo juu. So nilianza mahusiano na Cocacola loong time ago hata kabla hawajafikiria kutengeneza makopo, na walipoamua kutengeneza makopo wiki nne zilizopita walinifahamisha na kwamba watanitengenezea kopo lenye jina langu as a sample na hatimaye watatengeneza ya kuuza tukakubaliana kwamba kopo la kwanza is no problem ila ya kuuza tutakaa chini kuhusu malipo yake separate, sasa nashangaa supposedly Mwanasheria wa Instagram, sijawahi kuona Mwanasheria akifanya mambo ya Sheria Instagram na kutukana watu asiowajua, kama alitaka kuwaonya wasanii wake angefanya hivyo lakini kutujumuisha wote that was wrong, sio yeye peke yake hapa mjini anayejua Sheria wapo Wanasheria wengi sana hapa mjini na besides kweli anaweza kunifundisha mimi my rights za kisheria? Are serious au unajichezea.

- Mwanasheria wa kwenda kutukana watu Instagram kwangu ni maajabu makubwa sana hili suala la Cocacola na makopo limeleta kizungu zungu sana mapaka ninajiuliza ni kweli ni tatizo la makopo au kuna zaidi ya makopo? Nimewaomba wale wote wanaohusika wawe wawazi kuhusu tatizo lao la kweli badala ya kujificha nyuma ya makopo!

- Tena tizama mkono wangu wa kushoto nimeushika mkataba wenyewe mkononi live!!

Le Mutuz

Mkuu Lemutuz asante kwa ufafanuzi naomba kuuliza hapo kuhusu kopo la kwanza! Hilo kopo la kwanza una maanisha kopo moja la soda au mauzo ya mkupuo wa kwanza?
 
Mkuu Lemutuz asante kwa ufafanuzi naomba kuuliza hapo kuhusu kopo la kwanza! Hilo kopo la kwanza una maanisha kopo moja la soda au mauzo ya mkupuo wa kwanza?

- Nina maana kopo la sample binafsi wamenipa mawili ya Sample ambayo wote tulipewa Jumatatu siku ya siku kuu, huyu Mwanasheria ambaye unaonekana kumuunga mkono hayupo sawa kwenye this ishu, kama shida yake ilikuwa kuwatisha Cocacola wampe kazi angetumia njia nyingine ila sio kunitukana mimi hapo amekosea sana, na naomba kukupa angalizo anything ukiona mimi nimo hapa mjini kuwa muangalifu sana kabla ya kutoa hukumu mimi siendi hovyo on anything kaka hapa mjini, nilizaliwa Ocean Road hapa hapa mjini so kwenye post yako ya kichwa cha mada umekosea sana!! naomba uniombe radhi mkuu!!

Le Mutuz
 
Dizaini unatamani sana na wewe jina lako lingeandikwa.

Too bad nobody gives a rats azz about yo azz:becky::becky::becky::becky:

Kwanza mkuu ningekuomba u-apologise kwa ku-mislead jukwaa kuhusu picha ya Manchester United Class of92' sababu umeshindwa kutolea maelezo hiyo picha imetoka wapi? nani kaipiga?

Kwa faida ya wote hiyo picha ni shabiki tu alikwenda kuotoketeza chupa za Coke zenye majina yanayoshahabiana na yale ya Class of 92, akamtumia hiyo picha Phil Neville na yeye kiutani akaiweka Instagram, akamshukuru aliyemtumia na akamwambia nashukuru kwa kuwa hukumuweka Robbie Savage.

Je kama ni kweli Coke walitumia majina ya Class of 92 kwanini jina la Nick Butt liandikwe "Butty"

Mwisho nakupa mfano wa Royal Family, kwenye jiji la London kuna hivi viduka vidogo vidogo vinauza sahani, vikombe nk. lakini kwenye hizo bidhaa zingine wanaweka picha za familia ya kifalme ili waongeze mauzo. Sasa hivi royal family wako kwenye mpango wa kutafuta IP ya sura na majina yao ili hao jamaa wawalipe kutumia sura zao.

Kwa kusema hivyo siyo kwamba watu hawanunui sahani au hawanywi chai na vikombe watu wanafanya hayo kila siku lakini kutumia image ya mtu for personal gain ni makosa kama huna ridhaa yake.

Hivyo kwa maselebu wa hapa nyumbani kama wamekubali ni sawa lakini wengine wamekubali kwa kutokuwa na uelewa na nguvu ya majina yao.

Ni kama wasanii zamani walaikuwa wanaimba ili wapate mademu lakini ilichukua muda kuja kujua kuwa muziki ni pesa
 
- Nina maana kopo la sample binafsi wamenipa mawili ya Sample ambayo wote tulipewa Jumatatu siku ya siku kuu, huyu Mwanasheria ambaye unaonekana kumuunga mkono hayupo sawa kwenye this ishu, kama shida yake ilikuwa kuwatisha Cocacola wampe kazi angetumia njia nyingine ila sio kunitukana mimi hapo amekosea sana, na naomba kukupa angalizo anything ukiona mimi nimo hapa mjini kuwa muangalifu sana kabla ya kutoa hukumu mimi siendi hovyo on anything kaka hapa mjini, nilizaliwa Ocean Road hapa hapa mjini so kwenye post yako ya kichwa cha mada umekosea sana!! naomba uniombe radhi mkuu!!

Le Mutuz

Mkuu Lemutuz bado sijaona sababu ya Mimi kukuomba radhi maana hakuna kibaya nilicho andika Nilimuunga mkono kwa kuwa alilo lieleza lina mantiki kabisa maana alikuwa anapinga wasanii kukubali kuwekwa majina yao bure labda kama halikuwa la ukweli!

Kuhusu kichwa cha mada sioni niliandika kutoka na malumbano yenu na Msando! Msando alidai anatetea haki za wasanii na wewe ulidai kuwa Msando anaona wivu kwa ...hapo ndio nilipo kuja na kichwa kinacho sema lemutuz Vs Msando ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca-cola?
Sijaona nilipo kosea ningekuwa kweli nimekukosea na nimepaona nisinge sita kukuomba msamaha kabisa!
 
- Wala usiwe na wasi wasi mkuu si unanijua huwa sina tatizo na anything kwa sababu ninajua ukweli wa ishu, huwezi kuwahukumu wasanii wote kwa sababu umekosa kopo, wanaomjua wote ndivyo walivyosema kwamba amekasirika kwa sababu wamemnyima kopo, simjui na wala sijwahi kumuona ila amenishangaza kwa Mwanasheria anayetaka kushika soko la Dar kunishambulia mimi kweli nimemshangaa sana, hivi unajua ni nani wanaosoma kila siku habari zangu kwenye mitandao? I mean what a joke!!

- Yeye angeongelea Wasanii wake tu sio kuchanganya kila mtu mimi sio msanii wake na after 30 years majuu kwenye anaamini sijui sheria ya kunilinda na kujisimamia? Please poleni sana ila kwenye hii ishu amekosea sana!1

Le Mutuz

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom