Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
6e7e56346e7ecfe097953134806c48d0.jpg

aye huyu ni msanii wa Marekani Lilly Wyne
 
Last edited by a moderator:
6e7e56346e7ecfe097953134806c48d0.jpg

aye huyu ni msanii wa Marekani Lilly Wyne
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Deo hapo kwenye red umeuliza swali la msingi sana na nimelipenda sana !

Lakini hapo kwenye green naomba tusitumie maneno ya aina hiyo kwenye huu mjadala ili uende vema na uwe mzuri!
vipi? wale wanatangaza hook up wanalipwa? kuna mdau kauliza ,
 
Thanks msando kwa kuwa umeweka wazi mambo..msanii atakae kubali chizi a.k.a mtambo
 
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja

Unataka hao wasanii wakale wap kwenu au?
Mbn mnapenda wenzenu waendelee KIA maskini hvyo,?
Haki zao za matangazo ziko wp,?
Huo umjini wako Wa kishamba sana
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa information is power.

Kuna watu wana-argue humu bila hata kuijua issue nzima ya Share a Coke.

Hata Kenya wameanzisha hiyo Share a Coke. Je, wasanii wa huko wanalipwa?

http://www.capitalfm.co.ke/business/2015/01/share-a-coke-and-enjoy-memorable-moments/

Kwanza, je, ni majina ya wasanii tu ndo yapo kwenye hizi chupa/ kopo?

Pili, hata jina la binti yangu lilikuwepo kwenye chupa za Coke hii summer iliyopita. Niende Coca-Cola global headquarters hapo nikadai hela zetu? Hahahaaaaa.....

Kweli kabisa information is power na nadhani kuna watu wengi tu humu hawakuwa wanajua kabisa kama kuna hii kampeni
Haijalishi imeanzia wapi!
Kwanini usinmlipe wakati unatumia jina lake kutengeneza hela.
 
Mnamjua huyu?

lg9hz7oj5iecb9cu7bv9.jpg
Huyu mimi simjui hapa tunaongelea wasanii wetu ambao tunajua fika wana ushawishi kwenye jamii majina yao kutumika bure! Hata kama huyo uliye muweka alitumika bure si kigezo cha wengine kutumika!
 
Huyu mimi simjui hapa tunaongelea wasanii wetu ambao tunajua fika wana ushawishi kwenye jamii majina yao kutumika bure! Hata kama huyo uliye muweka alitumika bure si kigezo cha wengine kutumika!

Acha uanaharakati bubu kwenye mitandao.

Kusanya wenzako nendeni mahakamani kama kweli mna hoja ya msingi.
 
Wametengeneza hela ngapi mpaka hivi sasa kwa kutumia majina yao?
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua! Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato. Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!
 
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua!

Sasa kama huwezi kujua kwa nini mtu utoe kauli kwamba wanatengeneza hela kupitia majina ya hao wasanii?

Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato.

Coca-Cola wametumia hela ngapi? Au una-speculate tu?

Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!

Umeongea na hata mmoja wa hao wasanii na kuwauliza ilikuwakuwaje hadi jina lake likawekwa kwenye chupa?

Je, unajua makubaliano yao hadi kufikia hatua ya kudai kuwa wananyonywa? Hizo chupa za soda zenye majina yao zitauzwa na kusambazwa nchi nzima au hilo tukio lilikuwa ni moja tu la kutambulisha hiyo kampeni na baada ya hapo Coca-Cola watauza chupa zenye majina ya watu mbalimbali na si zenye majina ya hao wasanii?

Au madai yako yote ni ya kusadiki tu?
 
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua! Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato. Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!

nimekuelewa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom