Godwin Mneng'ene
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 215
- 86
safi sana JF nimeisevu kwenye desktop yangu ili jioni niisome vizuri. nilikuwa naitafuta sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kizungu kinatisha, maana wachangiaji hapa siwaoni.
jamani iatafsiriwe kwa kiswahili
Mkuu, heshima mbele. Unaweza kupingana nami na kupingwa na wengi, lakini hoja ya msingi sio kuwa ni kweli au uongo yaliyosemwa dhidi ya Batilda. Tusi ni tusi tu. Hapa panazungumziwa matusi anayoshutmiwa Mh. Lema dhidi ya Batilda. Suala liwe kwa Mh. Lema kukata rufaa na kuthibitisha kuwa hakutamka maeneo hayo, na hata kama aliyatamka, kuwe na sababu za kujenga hoja kuwa yale hayakuwa matusi.Hivi huyu jaji angekuwepo arumeru mashariki akamsikia Lusinde sijui angesemaje?karibu mambo yote kuhusu Buliani ni kweli kwani hakuwahi kukanusha binafsi wala huyo Laigwanani wake
Mkuu cha muhimu ni kuwa hiyo doc. imepatikana. Suala la ku-leak au kuto-leak sidhani kama ni muhimu.Siaelewa unapose the document has been leaked. Hata kupata huku za mahakama imekuwa siri sasa?
Wadau msiiogope lugha ya kawaida hiyo ngaja tuipitie tuone madudu ya Mhaya Rwakibarila
Jargon nyingi sana humo hatuwezi kusoma, by the way kwanini mahakama ya Tanzania inatumia kimombo?
Naomba tuweke kwenye katiba mpya KIswahili kitumike, maana kesi inaendeshwa kiswahili hukumu inaandikwa kimombo wakati kuna maneno mengine hayatafsiriki kirahisi.