The Alchemist
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 177
- 148
Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria?
3) Legitimacy ya sheria inatoka
Sheria ndio ilitangulia. Huwezi kubaini au kuadhibu kosa iwapo hakuna sheria.Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria?
3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria?
3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
Labda nikuulize, unaweza kuwa na sheria inayokataza au kusimamia jambo ambalo halipo?Sheria ndio ilitangulia. Huwezi kubaini au kuadhibu kosa iwapo hakuna sheria.
Hata dhambi, kama sio sheria kusingekuwa na dhambi. Lakini likiwapo katazo au amri basi kosa hutokea kutokana na hiyo.
Adam aliambiwa kula matunda yote ila usile mti wa kati,hiyoilikuwa sheria,akala hilo ni kosa,akafukuzwa bustanini adhabu,so ilianza sheriaLabda nikuulize, unaweza kuwa na sheria inayokataza au kusimamia jambo ambalo halipo?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwenye sheria zetu,je unaweza kuadhibiwa kwa kosa ulilotenda kabla ya sheria hiyo kutungwa? jibu ni hapana.Labda nikuulize, unaweza kuwa na sheria inayokataza au kusimamia jambo ambalo halipo?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hii hoja yako haiko vizuri kisheria na hata kimantiki. Umetumia social contract ( tena kwa upande mmoja) ukielezea ni kipi kati ya sheria na kosa kinachomtangulia mwenzake. Kumbuka social contract ni ya karne ya ya 16 na 17 hapo. Ila kumbuka kumekuwepo na sheria tena kali kabisa kabla ya hiki kipindi cha enlightenment ambapo social contract ndipo ilipotokea. Kuna sheria kama Twelve Tables law ya Roma na Code of Hammurabi ya Babylon (mojawapo ya sheria kali kuwahi kuwepo), hizi unazieleza vipi katika muktadha wa social contract ambayo ilikuja baadae??Social Contract Theory
Nitakujibu swali lako kupitia hii theory ipa itafute uisome maana nitailezea partially...ila itakusaidia kujibu maswali yako.
Hapo zamani binadamu aliishi anavyotaka yeye (Free will)...Mtu angeweza kumuua yeyote bila kuulizwa na mwingine ( Maisha yalikua ni ya kikatili sana ) ...Mali hazikua salama sababu mwenye nguvu angeweza kuchukua mali ya mnyonge na asimfanye nk....kifupi binadamu aliishi katika uhuru wake wa asili (Natural freedom) kama waishivyo wanyama wengine tu porini....lakini baada ya madhira ya muda mrefu,binadamu kama viumbe wenye akili waliona umuhimu kujadiliana kuhusu ku Surrender their natural freedom...as zinaleta madhara makubwa kwenye society wakakubaliana kufanya hivyo na hii ndiyo "Social Contract" yenyewe.
Tatizo likaja...je itakuwaje kama mtu akiamua kukiuka utaratibu tuliojiwekea? Na hapo ndipo zilpokuja sheria kwa mtu atakaye kiuka utaratibu walojiwekea binadamu.
Likaja tatizo jingine,je ni nani atazisimamia hizo sheria? Na hapo ndipo utawala ulipoanzishwa ...yaani alipatikana kiongozi(King/Queen) ili kusimamia hizi sheria...
Nadhani kufikia hapo umeelewa kipi kilianza kati ya sheria na makosa...kifupi hakuna kosa bila sheria...though kwenye issue za human rights kesi ni tofauti...huku kosa linakuwepo hata kama sheria haipo...Thanx
1. Makosa - Mastery of observationWakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili;
1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia?
2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria?
3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
Sijajua umeangalia kwa muktadha upi? anyway,achana na hiyo theory,unajua kama kabla ya sheria hakuna kosa?Hii hoja yako haiko vizuri kisheria na hata kimantiki. Umetumia social contract ( tena kwa upande mmoja) ukielezea ni kipi kati ya sheria na kosa kinachomtangulia mwenzake. Kumbuka social contract ni ya karne ya ya 16 na 17 hapo. Ila kumbuka kumekuwepo na sheria tena kali kabisa kabla ya hiki kipindi cha enlightenment ambapo social contract ndipo ilipotokea. Kuna sheria kama Twelve Tables law ya Roma na Code of Hammurabi ya Babylon (mojawapo ya sheria kali kuwahi kuwepo), hizi unazieleza vipi katika muktadha wa social contract ambayo ilikuja baadae??
Huwa tunajifunza kuwa lengo ni kurekebisha tabia na mienendo katika jamii. Kwa municipal laws, makosa ni mojawapo ya sababu zinazosababisha sheria kutungwa au kufanyiwa marekebisho.
Na unaweza kuwa na sheria ambayo makosa yaliyopo hayapo katika jamii husika?Sijajua umeangalia kwa muktadha upi? anyway,achana na hiyo theory,unajua kama kabla ya sheria hakuna kosa?
Unaweza kushitakiwa kwa sheria isiyo exist?
Unaweza shitakiwa kwa kula mirungi kenya?
Kabla ya kutungwa sheria Tanzania kutumia Kuber ilikua ni kosa?,na baada ya kutungwa sheria ni kosa au si kosa?
Aisee mbona mgumu kuelewa sana?Na unaweza kuwa na sheria ambayo makosa yaliyopo hayapo katika jamii husika?
Wewe bado unahitajika kuiva vizuri kwenye jurisprudence ya sheria.Aisee mbona mgumu kuelewa sana?
Offense ni kubreak the law iliyowekwa kwenye society husika....hakuwezi kuwa na offense kama hakuna sheria kwani ni mpaka uvunje hiyo sheria ndo unakuwa umefanya kosa...hicho unachotaka kukielezea hapo kabla ya sheria siyo kosa kuna jina lake,jus do your homework.
Pia unaweza kuwa na sheria hata kama kosa halifanyiki kwenye jamii husika,ili kuzuia lisifike kabisa kutokana na hatari ya kosa hilo kama likifika kwenye jamii husika.
Duh! aisee,haya bhana,kwaheri.Wewe bado unahitajika kuiva vizuri kwenye jurisprudence ya sheria.