MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Sheria ni utumwa,watu wanatakiwa wae huru,sisi ni jamii ya wanyama kama wale ndugu zetu kule Mikumi na Serengeti national parks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilianza sheria ambayo ni 'Msile tunda la mti wa katikati' then likaja kosa kwa Adam na Hawa kula tunda lile.Kwanza embu tafakari muasisi wa sheria wa kwanza ambaye ni Mungu mwenyewe alifanyaje. Dhambi ilianza ndio zikaja amri au amri ndio zilitangulia?