MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 5, 2021 #21 Sheria ni utumwa,watu wanatakiwa wae huru,sisi ni jamii ya wanyama kama wale ndugu zetu kule Mikumi na Serengeti national parks
Sheria ni utumwa,watu wanatakiwa wae huru,sisi ni jamii ya wanyama kama wale ndugu zetu kule Mikumi na Serengeti national parks
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,680 Reaction score 2,779 Jan 5, 2021 #22 Uwepo wa sheria ni sababu ya makosa, sheria ni kiashiria kwamba tunaweza kuishi tupendavyo (liberty) hivo, ilisababisha kupishana maslahi
Uwepo wa sheria ni sababu ya makosa, sheria ni kiashiria kwamba tunaweza kuishi tupendavyo (liberty) hivo, ilisababisha kupishana maslahi
Kelevra JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 1,053 Reaction score 2,010 Jan 5, 2021 #23 DATAZ said: Kwanza embu tafakari muasisi wa sheria wa kwanza ambaye ni Mungu mwenyewe alifanyaje. Dhambi ilianza ndio zikaja amri au amri ndio zilitangulia? Click to expand... Ilianza sheria ambayo ni 'Msile tunda la mti wa katikati' then likaja kosa kwa Adam na Hawa kula tunda lile.
DATAZ said: Kwanza embu tafakari muasisi wa sheria wa kwanza ambaye ni Mungu mwenyewe alifanyaje. Dhambi ilianza ndio zikaja amri au amri ndio zilitangulia? Click to expand... Ilianza sheria ambayo ni 'Msile tunda la mti wa katikati' then likaja kosa kwa Adam na Hawa kula tunda lile.