Learn to work, don't work for money! Najuta kuupoteza muda kwenye elimu

Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndie ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini kufanikiwa na kutajirika kupo kwenye elimu!idiot

Ma age mate wangu wakiniambia tutoke kiukweli naona aibu wao wakiwa kwenye ma v8,ma discovered,ma murano mie naishia kupewa lift halafu baaada mimi nikiagiza vinywaji vya bei rahisi mara safari,serengeti,eagle,redbull wao wakiagiza ma jack Daniel and some pombe kutoka ujerumani kiukweli naonaga aibu

# elimu ya kibongo inamuandaa mbumbumbu kuwa tegemezi! Najuta
Wote uliomaliza nao form four na la saba ni mabilionea na mamilionea?? Mmmmmmhhhh!!!??
 
Unajua tatizo la vijana wanaamini katika hela za haraka haraka, elimu wewe uliyosoma ina umuhimu mkubwa sana kwako sema uwezo ukiwa mdogo wakufikiri hata ukiwa na dhahabu kwako wewe utaona kama kipande tu cha shaba,

Elimu yeyoyote ile ni investment umefanya sasa wewe wataka investment hiyo ikulipe hapo hapo, bila kujua investment yoyote yahitaji foundation nzuri ili iwe kuwa matured baadae,

Una elimu halafu hujaitengenezea foundation halafu hapo hapo unategemea return? Seriously

Elimu yangu ndio iliyokufanya ufungue account hapa na u post hichi ulichokiandika sasa iweje useme elimu haina msaada kwako, kwani wewe ulisoma upate ela au upate maarifa yatakayokuwezesha kupata hiyo ela???
 
Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndie ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini kufanikiwa na kutajirika kupo kwenye elimu!idiot

Ma age mate wangu wakiniambia tutoke kiukweli naona aibu wao wakiwa kwenye ma v8,ma discovered,ma murano mie naishia kupewa lift halafu baaada mimi nikiagiza vinywaji vya bei rahisi mara safari,serengeti,eagle,redbull wao wakiagiza ma jack Daniel and some pombe kutoka ujerumani kiukweli naonaga aibu

# elimu ya kibongo inamuandaa mbumbumbu kuwa tegemezi! Najuta
Hakuna principle moja tu ya maisha. Kama uliyopitia haijafanya kazi kwako, tafuta nyingine. Wengine kibao wamefanikiwa kupitia hiyo iliyokufelisha.
 
Jiunge Freemason na machama mengine design hiyo kama unataka shortcut ya kuwa milionea [emoji16][emoji16]
 
mimi sijasoma napambana kufidia tatizo la kutokusoma kumbe na ambaye amesoma apambane ili kufidia tatizo la kusoma.

kwani ukisoma ndio Benzi itakuja yenyewe?
 
Najuta kupoteza muda wangu kwenye elimu ni ujinga na upumbavu mwishowe naanza kuhangaika na bahasha za kaki tu wakati age mate wangu au wote ambao nimemaliza nao shule form four and la saba now ni ma billionaire au mamilionaire mie ndie ambaye nawapiga vizinga tu ni ujinga na upumbavu kuamini kufanikiwa na kutajirika kupo kwenye elimu!idiot

Ma age mate wangu wakiniambia tutoke kiukweli naona aibu wao wakiwa kwenye ma v8,ma discovered,ma murano mie naishia kupewa lift halafu baaada mimi nikiagiza vinywaji vya bei rahisi mara safari,serengeti,eagle,redbull wao wakiagiza ma jack Daniel and some pombe kutoka ujerumani kiukweli naonaga aibu

# elimu ya kibongo inamuandaa mbumbumbu kuwa tegemezi! Najuta
Bado una nafasi ya kuwa bilionea. Hujachelewa
 
Kujuta au kulalamika haisaidii. Tafuta alternative uchomoke na Kwa life la Sasa jaribu kupambana nje ya kile ulichosomea Ili maisha yasonge

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
....Kujuta au kulalamika haisaidii. Tafuta alternative uchomoke na Kwa life la Sasa jaribu kupambana nje ya kile ulichosomea Ili maisha yasonge.....
 
Elimu (UMEIKOSEA HESHIMA) Sana.

Elimu sio vyeti.. Elimu ni ujuzi ulibakia kichwani.

Elimu haina mwisho. Na elimu ina faida.

Tatzo ni je una elimu aina gani? Ngapi na unatumiaje hiyo Elimu?! Kuna Elimu unaitumia kupata Elimu. So ni kitu kipana sana.

Ikumbukwe hata YESU alisafiri umbali mrefu kufata Elimu na ni utamadun wa watu wazamani hadi sasa kusafiri kutafuta ELIMU.

TATIZO ni wewe.
 
Elimu ilikuwa inaenda vizuri ila jiwe aliamua kuishusha hazi ,Ili arise watu anao wahitaji kwa faida yake binafsi, kwa Sasa elimu imekuwa Haina mana
 
Back
Top Bottom