Leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA?

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
622
Kwema wakuu?
Napenda kujua juu ya mada hapo juu kama leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA.
 
Nenda shule ulikomalizia ila kama ulipewa ukapoteza hapo ndio utaenda Necta
 
kwema wakuu?
napenda kujua juu ya mada hapo juu kama leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au necta.
Sisi tuliambiwa mwaka2012 hakuna ila kwa wengine walipata na hapa na kesi niliibiwa vyeti ila nimepata vyote cha form iv kupata ndio imekuwa story necta kunisadia pls naomba msaada 0782239236
 
Leaving certificate ni cheti cha kuhitimu elimu uliyoisoma regardless umefaulu au hukufaulu mitihani ya NECTA. Hutolewa na shule uliyosomea na kikipotea unatakiwa kufuata taratibu za loss report na kufika shuleni kwako kwa ajili ya kutengenezewa kingine. Academic certificate hutolewa na Necta baada ya kufaulu mitihani . Cheti hiki hakitolewi zaidi ya mara moja. Ukipoteza ndo basi. Utafuta taratibu za Necta
 
Mie kuna mtu kaniibia vyeti vyote yani kuanzia cha kuzaliwa hadi degree! Sijui nani anaweza kunipa way forward!

Je, naweza kupata vyeti vyote kama vilivyo?
 
Sijamjua yani ila naimani ni wa kike tunaishi under the same roof! Vyeti vimepotelea nyumbani hapa hapa!
Mmh shughuli ipo, sasa katika hivyo vyeti cheti chako cha ubatizo kitamsaidia nini? Tite tikatoe moma.
 
Extrovert inaonekana huyo mtu umemnyima matumizi au unabanjua tu bila kujitambulisha kwao kaona akubane kivingine ili ufunguke maana vyeti vyako havina msaada kwake hata kidogo, think big
 
Mmh shughuli ipo, sasa katika hivyo vyeti cheti chako cha ubatizo kitamsaidia nini? Tite tikatoe moma.
Hangii, siteia kwa mbui ihi ateghua document zosheni! Ni ubavi hangi nchuki du!
 
Extrovert inaonekana huyo mtu umemnyima matumizi au unabanjua tu bila kujitambulisha kwao kaona akubane kivingine ili ufunguke maana vyeti vyako havina msaada kwake hata kidogo, think big
Hamna yani wala hata sio manzi yani, vyeti naachaga home kwetu kabisa kwenye rum yangu kuna drawers huwa document zote muhimu na chumba nakifunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…