Leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA?

Leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA?

Mie kuna mtu kaniibia vyeti vyote yani kuanzia cha kuzaliwa hadi degree! Sijui nani anaweza kunipa way forward!

Je, naweza kupata vyeti vyote kama vilivyo?
Kama ulimaliza fm4 2009 kurudi nyuma. Unaweza kosa cheti cha fm4 ,kama ulimaliza mbele ya hapo utapata vyote
 
Hii imenipa nguvu, gharama zikoje
Birth certificate nenda Rita sidhani kama inaweza fika 50k
Stnd7 ,f4, f6 ni 100k kila kimoja unasubiri ndani ya mwaka mmoja
Academic$ leaving certificate ya chuo Inategemeana na chuo ulicho soma.
Fm4 2009 kuridi nyuma vyeti vyao vya fm4 havichongeshwi tena, Utapewa tu karatasi yenye statement kuwa ulimaliza .
 
Kupata pia kuna mambo yanaudhi utaenda ukaandae loss report, pia inatakiwa ukatangaze kwenye gazeti la serikali kuwa umepotelewa na hivyo vyeti ndio necta watakupokea.
Nadhani mambo sasa yametulia enzi za Magu unatembea kwenye ofisi zao hadi soli inaisha kwenye kiatu
 
Leaving certificate ni cheti cha kuhitimu elimu uliyoisoma regardless umefaulu au hukufaulu mitihani ya NECTA. Hutolewa na shule uliyosomea na kikipotea unatakiwa kufuata taratibu za loss report na kufika shuleni kwako kwa ajili ya kutengenezewa kingine. Academic certificate hutolewa na Necta baada ya kufaulu mitihani . Cheti hiki hakitolewi zaidi ya mara moja. Ukipoteza ndo basi. Utafuta taratibu za Necta
Leaving certificates hazina maana yoyote wala hazisaidii kutafuta kazi.

Kama unaelewana na Mwl wa taaluma shule yyote anaweza kukupa ukaenda ku-type write mwenyewe na kugonga mihuli ya kariakoo.
 
Back
Top Bottom