Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Kama ulimaliza fm4 2009 kurudi nyuma. Unaweza kosa cheti cha fm4 ,kama ulimaliza mbele ya hapo utapata vyoteMie kuna mtu kaniibia vyeti vyote yani kuanzia cha kuzaliwa hadi degree! Sijui nani anaweza kunipa way forward!
Je, naweza kupata vyeti vyote kama vilivyo?
Ntewaza nimnhke usinga duh! Hangi nimtoe albadiliππππ hangi ne umpunye mwe usazi.
Pole mkuuSijamjua yani ila naimani ni wa kike tunaishi under the same roof! Vyeti vimepotelea nyumbani hapa hapa!
Oh tate nane wabwange tushikamaneπMgoshi wa ndima titee tikamkamate ubavu hako teh! teh!
Asante mkuuPole mkuu
Hii imenipa nguvu, gharama zikojeKama ulimaliza fm4 2009 kurudi nyuma. Unaweza kosa cheti cha fm4 ,kama ulimaliza mbele ya hapo utapata vyote
Rudisha vyeti vya Kaka plsπππ hangi ne umpunye mwe usazi.
Birth certificate nenda Rita sidhani kama inaweza fika 50kHii imenipa nguvu, gharama zikoje
Leaving certificates hazina maana yoyote wala hazisaidii kutafuta kazi.Leaving certificate ni cheti cha kuhitimu elimu uliyoisoma regardless umefaulu au hukufaulu mitihani ya NECTA. Hutolewa na shule uliyosomea na kikipotea unatakiwa kufuata taratibu za loss report na kufika shuleni kwako kwa ajili ya kutengenezewa kingine. Academic certificate hutolewa na Necta baada ya kufaulu mitihani . Cheti hiki hakitolewi zaidi ya mara moja. Ukipoteza ndo basi. Utafuta taratibu za Necta
Hahahahah
We demu kumbe mpare![emoji849][emoji23][emoji23][emoji23] hangi ne umpunye mwe usazi.