Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
View: https://youtu.be/soVvF8W4wR0?si=xaTVc2DaRgHg5-LV
Kwanza warudisheni watu walio kimbia North Israel kama mnaweza hio ndio challenge mliopewa na Nasurlah 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View: https://youtu.be/soVvF8W4wR0?si=xaTVc2DaRgHg5-LV
Kwanza warudisheni watu walio kimbia North Israel kama mnaweza hio ndio challenge mliopewa na Nasurlah 😄
Kichapo mnapokea tena kwenye viwanda na base hatujapiga civilian bado. Hizo nyumba mnazo ziona zimo ndani ya kiwanda cha Iron Dome za mastaff wa kiwanda hicho 😄Kobazi wanachezea vichapo na myahudi sio poa
Kobazi wanalia na kusaga meno hukooooo magaidi wanaisha🤣🤣🤣🤣Kichapo mnapokea tena kwenye viwanda na base hatujapiga civilian bado. Hizo nyumba mnazo ziona zimo ndani ya kiwanda cha Iron Dome za mastaff wa kiwanda hicho 😄
Nyie wapiga majumba tu hamna jipya wewe ukisha ona watu wanaweka vibomu vidogo kwenye pager na walkie talkie ujuwe wameishiwa. Walidhani kuhonga mabillion kuwauwa macommander wa Hezbullah ndio wameshinda, hawajui wale wameisha wacha wasaidizi wao Well trained 👌
Tunaona mnavyo panic we nenda kwenye machinjio ya nguruwe njombe ndio kuna kufaa. Yule mungu wenu The Holy Ghost na taifa lake kumbe dhaifu hivyo 1=3 vipi hapo watu watatu wameshindwa kulilinda taifa teule lenu 😄Kobazi wanalia na kusaga meno hukooooo magaidi wanaisha🤣🤣🤣🤣
Tunaona mnavyo panic we nenda kwenye machinjua ya nguruwe njombe ndio kuna kufaa.
View: https://youtu.be/oLunV9GLzXI?si=qY6EmBdMKsUyH2lF
View: https://youtu.be/GtqCpjR3R5c?si=8IUUWsCFYmSwcKOL
Gaza haijafutwa Bado IPO xana kwenye vita hakuna mshindiKatika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
Wameyataka wenyeweHatari sana huyu myahudi anawatesa sana wavaa kobazi
Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.Israel hawezi kukubali alale usingizi wakati lebanon kuna hezbollah wanaoweza kurusha rocket muda wowote, watahakikisha wameisambaratisha kabisa kabisa. Gaza hata hawahesabu kama ipo. iran analetewa ndoana ili aingie king anakwepa. watu wanauliza, kama iran mwenyewe ndio alibeba baadhi ya vyombovilivyolipuka na kupeleka lebanon, basi hata kule iran israel anaweza kulipua vitu vingi akiamua. marekani anamsukumia israel apigane na iran ili aingilie kati kumsambaratisha iran , ila waajemi wajanja sana wamestuka.
God Bless IsraelKatika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
hawakujua hilo hadi juzi pager zilipolipuka, wakagundua kumbe raisi kwenye helcopter na wasaidizi wake walikuwa na pager. na hii maana yake hata zile pager kwenda lebanon aliyelipia mzigo na kuupeleka ni Iran. bila kujua myahudi is behind the production.Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.
sasa hivi ukifika gaza ni sawasawa na vingunguti ya mwaka 1972. sasa ngoja lebanon itafananana na soko la tandika la 1967!subiria november 16 utanieleza. huu utabili upo ufunuo wa yohana.Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
Hahah nyie walokole mnashida sijui una umri gqni hufahami historia ya Hezbollah wapo toka mwaka 1985 na wameishampa kichapo basha wako wakaomba vitu isimamishwe ulikuwa bado upo Uyole.Israel hawezi kukubali alale usingizi wakati lebanon kuna hezbollah wanaoweza kurusha rocket muda wowote, watahakikisha wameisambaratisha kabisa kabisa. Gaza hata hawahesabu kama ipo. iran analetewa ndoana ili aingie king anakwepa. watu wanauliza, kama iran mwenyewe ndio alibeba baadhi ya vyombovilivyolipuka na kupeleka lebanon, basi hata kule iran israel anaweza kulipua vitu vingi akiamua. marekani anamsukumia israel apigane na iran ili aingilie kati kumsambaratisha iran , ila waajemi wajanja sana wamestuka.