Lebanon inaenda kufutwa kama Gaza

Lebanon inaenda kufutwa kama Gaza

Kobazi wanachezea vichapo na myahudi sio poa
Kichapo mnapokea tena kwenye viwanda na base hatujapiga civilian bado. Hizo nyumba mnazo ziona zimo ndani ya kiwanda cha Iron Dome za mastaff wa kiwanda hicho 😄

Nyie wapiga majumba tu hamna jipya wewe ukisha ona watu wanaweka vibomu vidogo kwenye pager na walkie talkie ujuwe wameishiwa. Walidhani kuhonga mabillion kuwauwa macommander wa Hezbullah ndio wameshinda, hawajui wale wameisha wacha wasaidizi wao Well trained 👌
 
Kobazi wanalia na kusaga meno hukooooo magaidi wanaisha🤣🤣🤣🤣
 
Gaza
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
Gaza haijafutwa Bado IPO xana kwenye vita hakuna mshindi
 
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg
 
Israel hawezi kukubali alale usingizi wakati lebanon kuna hezbollah wanaoweza kurusha rocket muda wowote, watahakikisha wameisambaratisha kabisa kabisa. Gaza hata hawahesabu kama ipo. iran analetewa ndoana ili aingie king anakwepa. watu wanauliza, kama iran mwenyewe ndio alibeba baadhi ya vyombovilivyolipuka na kupeleka lebanon, basi hata kule iran israel anaweza kulipua vitu vingi akiamua. marekani anamsukumia israel apigane na iran ili aingilie kati kumsambaratisha iran , ila waajemi wajanja sana wamestuka.
Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.
 
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
God Bless Israel
 
Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.
hawakujua hilo hadi juzi pager zilipolipuka, wakagundua kumbe raisi kwenye helcopter na wasaidizi wake walikuwa na pager. na hii maana yake hata zile pager kwenda lebanon aliyelipia mzigo na kuupeleka ni Iran. bila kujua myahudi is behind the production.
 
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi anachowapa kobazi wanateseka sana aisee
sasa hivi ukifika gaza ni sawasawa na vingunguti ya mwaka 1972. sasa ngoja lebanon itafananana na soko la tandika la 1967!subiria november 16 utanieleza. huu utabili upo ufunuo wa yohana.
 
Israel hawezi kukubali alale usingizi wakati lebanon kuna hezbollah wanaoweza kurusha rocket muda wowote, watahakikisha wameisambaratisha kabisa kabisa. Gaza hata hawahesabu kama ipo. iran analetewa ndoana ili aingie king anakwepa. watu wanauliza, kama iran mwenyewe ndio alibeba baadhi ya vyombovilivyolipuka na kupeleka lebanon, basi hata kule iran israel anaweza kulipua vitu vingi akiamua. marekani anamsukumia israel apigane na iran ili aingilie kati kumsambaratisha iran , ila waajemi wajanja sana wamestuka.
Hahah nyie walokole mnashida sijui una umri gqni hufahami historia ya Hezbollah wapo toka mwaka 1985 na wameishampa kichapo basha wako wakaomba vitu isimamishwe ulikuwa bado upo Uyole.
 
Back
Top Bottom