Lebanon inaenda kufutwa kama Gaza

Kobazi wanachezea vichapo na myahudi sio poa
Kichapo mnapokea tena kwenye viwanda na base hatujapiga civilian bado. Hizo nyumba mnazo ziona zimo ndani ya kiwanda cha Iron Dome za mastaff wa kiwanda hicho πŸ˜„

Nyie wapiga majumba tu hamna jipya wewe ukisha ona watu wanaweka vibomu vidogo kwenye pager na walkie talkie ujuwe wameishiwa. Walidhani kuhonga mabillion kuwauwa macommander wa Hezbullah ndio wameshinda, hawajui wale wameisha wacha wasaidizi wao Well trained πŸ‘Œ
 
Kobazi wanalia na kusaga meno hukooooo magaidi wanaisha🀣🀣🀣🀣
 
Gaza
Gaza haijafutwa Bado IPO xana kwenye vita hakuna mshindi
 
Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.
 
God Bless Israel
 
Mimi hili la Iran kusema Rais Raisi aliuawa kwa teknolojia ya peja(pager) limeniacha mdomo wazi.
hawakujua hilo hadi juzi pager zilipolipuka, wakagundua kumbe raisi kwenye helcopter na wasaidizi wake walikuwa na pager. na hii maana yake hata zile pager kwenda lebanon aliyelipia mzigo na kuupeleka ni Iran. bila kujua myahudi is behind the production.
 
sasa hivi ukifika gaza ni sawasawa na vingunguti ya mwaka 1972. sasa ngoja lebanon itafananana na soko la tandika la 1967!subiria november 16 utanieleza. huu utabili upo ufunuo wa yohana.
 
Hahah nyie walokole mnashida sijui una umri gqni hufahami historia ya Hezbollah wapo toka mwaka 1985 na wameishampa kichapo basha wako wakaomba vitu isimamishwe ulikuwa bado upo Uyole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…