Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Msaidie
 
Ina Maana jamaa wanasurvive kwa kafara? Bado sijaona link ya kupata mali kwa kuharibu mali.
 
Bora hata wangehonga, au wanywe pombe za kutosha kuliko huo upumbavu wa kilimbukeni.
 
Utakuwa uchawi tu hamna kingine
 
Wcb inaweza, kwani wamejieza sana angalia wasanii wao wote wana nyumba na mikoko mikubwa ya kutembelea kwa mda mfupi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…