Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Msaidie
 
Ina Maana jamaa wanasurvive kwa kafara? Bado sijaona link ya kupata mali kwa kuharibu mali.
 
Mkuu hela ama Mali zako kuna yeyote anayekupangia matumizi yake?, acha roho chungu pesa watafute wao ww uwapangie jinsi ya kuzitumia Inamake sense kweli, hili tatiz sijui litaisha Lin tz watu hawafanyi kaz kwa bidii, juhudi na maarifa wanabaki kulilia misaada tena wanaona kama haki yao ya msingi
Bora hata wangehonga, au wanywe pombe za kutosha kuliko huo upumbavu wa kilimbukeni.
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Utakuwa uchawi tu hamna kingine
 
Wcb inaweza, kwani wamejieza sana angalia wasanii wao wote wana nyumba na mikoko mikubwa ya kutembelea kwa mda mfupi tu
 
Back
Top Bottom