Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mmm huo utakuwa ni utahira sasa si bora hilo gari wampe mshabiki mmoja?
tena wakupe wewe mhaya feki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmm huo utakuwa ni utahira sasa si bora hilo gari wampe mshabiki mmoja?
Hii ni kutafuta laana!!!!mmm huo utakuwa ni utahira sasa si bora hilo gari wampe mshabiki mmoja?
Hawakosi neno hawaUnawaza kama mimi...
Wakitekeleza hilo watu wataanza kuleta vifungu, maana hiyo inaweza kuwa fursa na kuwapatia ulaji wasaka tonge...
MsaidieMara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Laana ya kiwanda?Hii ni kutafuta laana!!!!
Ina Maana jamaa wanasurvive kwa kafara? Bado sijaona link ya kupata mali kwa kuharibu mali.Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Bora hata wangehonga, au wanywe pombe za kutosha kuliko huo upumbavu wa kilimbukeni.Mkuu hela ama Mali zako kuna yeyote anayekupangia matumizi yake?, acha roho chungu pesa watafute wao ww uwapangie jinsi ya kuzitumia Inamake sense kweli, hili tatiz sijui litaisha Lin tz watu hawafanyi kaz kwa bidii, juhudi na maarifa wanabaki kulilia misaada tena wanaona kama haki yao ya msingi
Utakuwa uchawi tu hamna kingineKama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Mi naona afadhali ya WCB wanatoa kafara za magari kuliko wanaoua watu....Misifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Iyo gari giabox itakuwa mbovu
Pengine hizo ndio kafara zao!!!!mmm huo utakuwa ni utahira sasa si bora hilo gari wampe mshabiki mmoja?
Baba ako alishawahi toa hata chakula cha x mas kwa yatima...maan hao wcb tunawajua kwa kutoa misaadaMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Wachome kilimo kwanza kama wachomaji wa magari wasituletee cnema hapaMark X mnyama