Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Walimshindwa darasa sasa naona wamekuja kivingine vingine hawa wasafi sio watu kabisa
 
Ipo siku watazikumbuka zama hizi za kufuru na kutaman miaka irudi nyuma watumie walichokuwanacho vizuri.
 
Wapumbavu hawa majamaa. Labda wamepewa Masharti na waganga wao
 
Pumbavu kabisa badala ya kusaidia masikini nyie mnachoma magari moto.
 
Madee alisema arsenal akifungwa anachoma gar na kweli alifungwa uliza nn kiliendelea hakuchoma
 

Ushirikina mtupu!
 
Wakichoma hlo gari mi naenda kufanya fujo kambi ya alshabab popote ilipo
 
Mnaweza kuona ni gari ndio linachomwa moto kumbe kuna vingine vinachomewa humo....

[HASHTAG]#Kalaghabaho[/HASHTAG]!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…