Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Walimshindwa darasa sasa naona wamekuja kivingine vingine hawa wasafi sio watu kabisa
 
Ipo siku watazikumbuka zama hizi za kufuru na kutaman miaka irudi nyuma watumie walichokuwanacho vizuri.
 
Wapumbavu hawa majamaa. Labda wamepewa Masharti na waganga wao
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Pumbavu kabisa badala ya kusaidia masikini nyie mnachoma magari moto.
 
Madee alisema arsenal akifungwa anachoma gar na kweli alifungwa uliza nn kiliendelea hakuchoma
 
Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani

Ushirikina mtupu!
 
Wakichoma hlo gari mi naenda kufanya fujo kambi ya alshabab popote ilipo
 
Mnaweza kuona ni gari ndio linachomwa moto kumbe kuna vingine vinachomewa humo....

[HASHTAG]#Kalaghabaho[/HASHTAG]!!!
 
Back
Top Bottom