Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sio vizuri WCB mngewaandalia watu sherehe ya kuwashukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chid vitzGari aina ya aina gani
Pumbavu kabisa badala ya kusaidia masikini nyie mnachoma magari moto.Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Huyo atakaye choma hilo gari na wote wanaomshabikia.Sasa mkuu hapo unamwambia nani?
Mchawi na wachawi mnajuanaWalimshindwa darasa sasa naona wamekuja kivingine vingine hawa wasafi sio watu kabisa
Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Khaa sa ki gari hcho ndo cha kuchoma moto si achome lilr BMW lakeMark X mnyama
[emoji47]..... wameanza na gari wataenda mpaka watu!!!