Uharibifu wa mali ni kosa kisheriaKama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Na kwel, yawezekana hiyo ni ibada, huo ni ushetani tuu!!..... wameanza na gari wataenda mpaka watu!!!
Unawivu na hela za watu penda zako pia mamMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
KafaraKama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Wajanja hawa watakuwa wamexhomoa injini na gia box alafu wanachoma, kama ni ivyo waiwashe kabla awajachoma moto na iendeshwe kidogo alafu watie kiberitiIyo gari giabox itakuwa mbovu
Kwa hiyo hizo mara ngapi walizotoa hao wasiojiweza wamekwisha. Kwani wewe umeshachoma vingapi hapo kwako kama njia ya kuongeza vingine?Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Hata chuo cha kidini cha SAUT MwanzaKwa wafuasi wa lucifa hata masonic hufanya hivo ule moto una maana yake Kwa imani zao sawa na kutembea juu ya moto
Mm sijachoma natumia mwenyewe ndio mana simpangii matumiz aliejitafutia kama wwKwa hiyo hizo mara ngapi walizotoa hao wasiojiweza wamekwisha. Kwani wewe umeshachoma vingapi hapo kwako kama njia ya kuongeza vingine?
Mkuu kwa hiyo kutoa msaada kwa yatima ndiyo excuse ya mtu kufanya kufuru?Baba ako alishawahi toa hata chakula cha x mas kwa yatima...maan hao wcb tunawajua kwa kutoa misaada
Hata chuo cha kidini cha SAUT Mwanza
Huwa wanawasha moto mkubwa wakati wa kuanza mihula ya masomo. Ni kumuita Lucifer nadhani kuweka mambo sawa. Anaepinga amuulize mtu aliyesoma pale St. Augustine University Mwanza
Achana na mazoea yakuwaona wenzako wakitoa kila siku, embu jipange na ww kwa kidg ulichonachoMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Minyimbo imejaa matusiii... Huku kwetu ushuani tumeacha kusikiliza... Nyimbo za X kama pornMisifa ya kijinga ndio inayowafanya wawe kwenye peak kila siku.