kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Uharibifu wa mali ni kosa kisheriaKama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …
Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!