Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Uharibifu wa mali ni kosa kisheria
 
Watazijutia hela hizo, siku hiyo inakuja!!!!
 
Hakuna moto ila hizo ni hesabu zitaleta bilions of money hiyo siku
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya Party ya Wasafi …

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
...Ngumu kumeza, hivi hii imekaaje? Kuna wasanii/lebo au kikundi chochote kilichowahi kufanya kufuru kama hiyo jukwaani humu duniani?
WCB Kiboko aisee!!!
Kafara
 
Iyo gari giabox itakuwa mbovu
Wajanja hawa watakuwa wamexhomoa injini na gia box alafu wanachoma, kama ni ivyo waiwashe kabla awajachoma moto na iendeshwe kidogo alafu watie kiberiti
 
Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwani
Kwa hiyo hizo mara ngapi walizotoa hao wasiojiweza wamekwisha. Kwani wewe umeshachoma vingapi hapo kwako kama njia ya kuongeza vingine?
 
Kwa wafuasi wa lucifa hata masonic hufanya hivo ule moto una maana yake Kwa imani zao sawa na kutembea juu ya moto
Hata chuo cha kidini cha SAUT Mwanza
Huwa wanawasha moto mkubwa wakati wa kuanza mihula ya masomo. Ni kumuita Lucifer nadhani kuweka mambo sawa. Anaepinga amuulize mtu aliyesoma pale St. Augustine University Mwanza
 
Akili za mwendokasi,very bad idea's perhaps invisible power rules command, wakati kuna watu mpk anakufa ajamiliki Gari wao wanachoma,???kuna zaidi ya kuchoma Gari ssii bure bure tu,
 
Kwa hiyo hizo mara ngapi walizotoa hao wasiojiweza wamekwisha. Kwani wewe umeshachoma vingapi hapo kwako kama njia ya kuongeza vingine?
Mm sijachoma natumia mwenyewe ndio mana simpangii matumiz aliejitafutia kama ww
 
Hata chuo cha kidini cha SAUT Mwanza
Huwa wanawasha moto mkubwa wakati wa kuanza mihula ya masomo. Ni kumuita Lucifer nadhani kuweka mambo sawa. Anaepinga amuulize mtu aliyesoma pale St. Augustine University Mwanza

Mmmmhhhh.... mabwaku
 
Nenda YOUNG MONEY na ukitaka kujiunga nao nunua RANGE ROVER VOGUE mpya wenzio wapige kiberiti.
 
Wanachomaje gari wakati Diomond hana gari?? Si wampatie Diamond hilo kwa maana ile X3 yake naona haifai kuwa barabarani kabisa.
 
Back
Top Bottom