Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
-
- #21
Hili la Waingereza na ufalme wao, kwa jinsi ninavyowafahamu ingekuwa ndo wenzao... sipati picha! Jambo ambalo huwa najiuliza, miaka 500 iliyopita sijui ndo ilikuwaje! Si ajabu a dude from a royal family anakamata tu amtakae na kwenda kumgegeda na agegedwae anaona poa tu!
Bwana weee! Tena umenikumbusha kwa mfano hai kabisa... if am not mistaken ilikuwa ni enzi za King Henry ( I think wa saba!)! Yaani Mfalme anakuwa na ushawishi hadi kwenye masuala ya imani!Yalikuwa makubwa, unakumbuka mgawanyiko wa Kanisa katoliko na English church 90Anglican Church), ni kutokana na popo kumkanya mfame kujichukulia vimwana apendavyo, na yaliyojilia mfalme akalazimisha wakatoliki UK wajitenge na kanisa na kuwa royal family ni wakuu wa kanisa jipya lililojitenga toka Catholic jambo linaloendelea hadi leo.
Bwana weee! Tena umenikumbusha kwa mfano hai kabisa... if am not mistaken ilikuwa ni enzi za King Henry ( I think wa saba!)! Yaani Mfalme anakuwa na ushawishi hadi kwenye masuala ya imani!
Inaelelkea Waarabu wanakukuna sana wewe...!!! Maana unawahusudu vilivyo
waarabu si pimbi tu!!!
Watu km nyie heshima mtatoa Mkiniona Natoka Chumbani Kwa Mama zenu Nimevaa kanga kiunoni halafu na Mama zenu wako nyuma wanaulizia km nataka Maji ya moto!
Manake naona watoto Mmekosa baba muda mrefu!
Sema we mjaluo mazeli wako ana sura ka jiko itabidi nikija nije na miwani ya kuchomea welding.
Anatisha.
Ulishawahi kuugua kichaa..??
mbona kate ametabasamu tu yuko ok na hiyo touching lol
Watu km nyie heshima mtatoa Mkiniona Natoka Chumbani Kwa Mama zenu Nimevaa kanga kiunoni halafu na Mama zenu wako nyuma wanaulizia km nataka Maji ya moto!
Manake naona watoto Mmekosa baba muda mrefu!
Sema we mjaluo mazeli wako ana sura ka jiko itabidi nikija nije na miwani ya kuchomea welding.
Anatisha.
Wacha longalonga.
Kwani hawa so called Royal family wamekuwa nani mpaka wapangi kila mtu namna ya Kufanya!
Dodi alfayyed hakutazama huku wala kule. Alikamata Yule Diana! Akagegeda!
Na hawa pia wakilegea Tu anatokea mwarabu mwingine agegede tu!
Cheza na Waarabu wewe!
unakuta mtu mweusi tii afadhali demba cisse unakuta anashobooka na hawa waarabu waliochukua watumwa babu zake na kuwatesa!