Lebron James amkumbatia mke wa Prince charles avunja protocal za royal

Lebron James amkumbatia mke wa Prince charles avunja protocal za royal

Hili la Waingereza na ufalme wao, kwa jinsi ninavyowafahamu ingekuwa ndo wenzao... sipati picha! Jambo ambalo huwa najiuliza, miaka 500 iliyopita sijui ndo ilikuwaje! Si ajabu a dude from a royal family anakamata tu amtakae na kwenda kumgegeda na agegedwae anaona poa tu!

Yalikuwa makubwa, unakumbuka mgawanyiko wa Kanisa katoliki na English church (Anglican Church), ni kutokana na Pope kumkanya mfame kujichukulia vimwana apendavyo, na yaliyojilia mfalme akalazimisha wakatoliki UK wajitenge na kanisa na kuwa royal family ni wakuu wa kanisa jipya lililojitenga toka Catholic jambo linaloendelea hadi leo.
 
Yalikuwa makubwa, unakumbuka mgawanyiko wa Kanisa katoliko na English church 90Anglican Church), ni kutokana na popo kumkanya mfame kujichukulia vimwana apendavyo, na yaliyojilia mfalme akalazimisha wakatoliki UK wajitenge na kanisa na kuwa royal family ni wakuu wa kanisa jipya lililojitenga toka Catholic jambo linaloendelea hadi leo.
Bwana weee! Tena umenikumbusha kwa mfano hai kabisa... if am not mistaken ilikuwa ni enzi za King Henry ( I think wa saba!)! Yaani Mfalme anakuwa na ushawishi hadi kwenye masuala ya imani!
 
Bwana weee! Tena umenikumbusha kwa mfano hai kabisa... if am not mistaken ilikuwa ni enzi za King Henry ( I think wa saba!)! Yaani Mfalme anakuwa na ushawishi hadi kwenye masuala ya imani!

You are very correct, ni kipindi hicho ambapo kanisa kuu la Kikatoliki la Westminister likawa makao makuu ya English church hadi leo na royal family kuwa ndio wakuu wa juu kabisa wa kanisa hilo.
 
Watu km nyie heshima mtatoa Mkiniona Natoka Chumbani Kwa Mama zenu Nimevaa kanga kiunoni halafu na Mama zenu wako nyuma wanaulizia km nataka Maji ya moto!

Manake naona watoto Mmekosa baba muda mrefu!
Sema we mjaluo mazeli wako ana sura ka jiko itabidi nikija nije na miwani ya kuchomea welding.
Anatisha.

Ulishawahi kuugua kichaa..??
 
mbona kate ametabasamu tu yuko ok na hiyo touching lol

Jamaa ananuka mijasho huoni mijasho hadi kwenye kwapa?angeenda kubadili nguo kwanza kwani hata kama ni mchezoni hapo pana maliwato,mijasho +midevu=UCHAFU
 
Watu km nyie heshima mtatoa Mkiniona Natoka Chumbani Kwa Mama zenu Nimevaa kanga kiunoni halafu na Mama zenu wako nyuma wanaulizia km nataka Maji ya moto!

Manake naona watoto Mmekosa baba muda mrefu!
Sema we mjaluo mazeli wako ana sura ka jiko itabidi nikija nije na miwani ya kuchomea welding.
Anatisha.

Mjomba wajaluo wamekukosea nini? Yaelekea una chuki binafsi...
 
Wacha longalonga.
Kwani hawa so called Royal family wamekuwa nani mpaka wapangi kila mtu namna ya Kufanya!
Dodi alfayyed hakutazama huku wala kule. Alikamata Yule Diana! Akagegeda!
Na hawa pia wakilegea Tu anatokea mwarabu mwingine agegede tu!

Cheza na Waarabu wewe!

unakuta mtu mweusi tii afadhali demba cisse unakuta anashobooka na hawa waarabu waliochukua watumwa babu zake na kuwatesa!
 
unakuta mtu mweusi tii afadhali demba cisse unakuta anashobooka na hawa waarabu waliochukua watumwa babu zake na kuwatesa!

Wazungu ndio waanzilishi wa Biashara ya Utumwa na hao hao ndio waliotumia jina la yesu kutuletea Utumwa huku Afrika na mpaka leo wameondoka lkn sisi bado tunaabudu Picha yao.

Wabaya sana hawa watu.
 
141210122024_le_bron__512x288_bbc_nocredit.jpg

LeBron aliweka mkono wake katika bega la Kate kwake mambo yakiwa ni kawaida tu

Mchezaji wa mpira wa vikapu LeBron James alivunja protokali au kuvunja kanuni za maadili ya kifalme alipomshika mabegani Kate Middleton akiwa na majasho kwenye jezi lake huku mumewe Kate, Prince William akifanya mzaha kuhusu ukubwa wa mguu wa mchezaji huyo huku wote wakiangua kicheko.

Wengi nchini Uingereza wameandika kwenye mitandao ya kijamii wakimwambia LeBron sio vyema kuweka mkono wake kwa bega la mkewe mwanafalme hasa wakati jezi lake likionekana kuwa na jasho jingi.

Haya yalitokea punde baada ya mechi ya mpira wa vikapu ambayo Prince William na mkewe mjamzito Kate Middleton walishuhudia mjini New York wakati wakipigwa picha za pamoja.


141210121846_le_bron_kate_512x288_bbc_nocredit.jpg

Wadadisi wengi wanasema ishara ya kumwekea mkono begani Kate ni uvunjaji wa kanuni za kifalme

LeBron James, alitumbukiza mpira kwenye neti mara nyingi tu lakini inasemekana laijiweka katika hatari ya kukosa mwlaiko wa krismasi kutoka kwa familia hio ya kifalme kwa kumkumbatia begani Kate.

Prince William na Kate walipigwa picha baada ya mechi kati ya Cleveland Cavaliers mjini New York Jumanne walipkuwa wakicheza na Brooklyn Nets, ambapo walikabidhiwa jezi ya mwanao mwenye umri wa mwaka mmoja Prince George.

Lakini kamera zilipokuwa zinapigwa, James aliweka mkono wake kwenye bega la Kate na kuvunja kanuni za maadili ya kifalme, licha ya kujulikana kwa jina la mzahaha kama King James.

Baada ya tukio hilo, wawili hao walikwenda kukutana na wanamuziki mahiri duniani Jay-Z na mkewe Beyonce kupigwa picha nyingine.
Lakini je unahisi kuwa mchezaji LeBron alivunja kanuni za kifalme kwa kumshika Kate begani?

Chanzo:
BBC Swahili
 
Back
Top Bottom