Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
- #21
Hili la Waingereza na ufalme wao, kwa jinsi ninavyowafahamu ingekuwa ndo wenzao... sipati picha! Jambo ambalo huwa najiuliza, miaka 500 iliyopita sijui ndo ilikuwaje! Si ajabu a dude from a royal family anakamata tu amtakae na kwenda kumgegeda na agegedwae anaona poa tu!
Yalikuwa makubwa, unakumbuka mgawanyiko wa Kanisa katoliki na English church (Anglican Church), ni kutokana na Pope kumkanya mfame kujichukulia vimwana apendavyo, na yaliyojilia mfalme akalazimisha wakatoliki UK wajitenge na kanisa na kuwa royal family ni wakuu wa kanisa jipya lililojitenga toka Catholic jambo linaloendelea hadi leo.