Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
 
Sasa hiyo si bora,je angewauzia mabinti kwa chupi,ungesemaje?Si mna ma boom toeni, msimbazi kitu gani?Je tuliosoma enzi hizo akuna BODI?,
 
Kwa hiyo ukinunua hilo desa unapata maksi ngapi kwenye coursework?

Story nyingine hata ukimpelekea Shigongo hatazitoa kwenye magazeti yake.
 
...mleta mada cjamuelewa kAbisa...
ar u complaining ,,au
 
nao udsm wanajidai chuo kiko juu. kumbe hayo ndio mambo yao? na nyie wanafunzi hamfai. unanunua desa la ni wakati vitabu, library na internet vipo? wote mlionunua wachovu tu. mtu kichwa hatishiwi na mhadhiri kwani appeal zipo.
 
lecture mmoja jina kapuni chuoni udsm aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,kununua ni lazima kwani ni sehemu ya marks za course work

i sawa kwani boom si ndo moja ya kazi yake?
Ulitaka akupe bure?
 
...mleta mada cjamuelewa kAbisa...
ar u complaining ..?,,au unafanya accounting hapo kujua jamaa katengeneza kiac gan..?
#hata acngekuzia ungetoa-copy na bado ungetumia pesa2...
ache kulalamika kwa mazoea...
 
Boom wataka ukahonge wanawake au wanaume halafu desa upewe bure.
Pesa za steshenari unazitumia kununua karatasi za kuvutia bangi? Kaa usome huko otherwise utaambulia disco.
 
"Ukiona elimu ni ghali, jaribu ujinga".
Hata kama huna voom kabisa kuna vitabu, internet, pia unaweza kutoa nakala ili kupunguza gharama. Vijana tuache kulalama!
 
nao udsm wanajidai chuo kiko juu. kumbe hayo ndio mambo yao? na nyie wanafunzi hamfai. unanunua desa la ni wakati vitabu, library na internet vipo? wote mlionunua wachovu tu. mtu kichwa hatishiwi na mhadhiri kwani appeal zipo.

we nawe sijui ndio umeandika kitu gani.
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Soma wewe acha kuleta upuuzi wako humu.badala ya kusoma unahangaika na Jf huku sio size yako...hizo bundle unazotumia umepewa bure?? yani mtu anakuandalia maisha yako we kapuku unalalamika?? mbona mbunye mnazigharamia na hamsemi?? mpyuuz wewe
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Unatafuka kisasi? Kakupa Sup nini? Soma dogo...
kulalamika mtandaoni hakutakupa A hata moja nakuapia.
 
"Ukiona elimu ni ghali, jaribu ujinga".
Hata kama huna voom kabisa kuna vitabu, internet, pia unaweza kutoa nakala ili kupunguza gharama. Vijana tuache kulalama!

magwanda yanaharibu vijana wetu
 
Si USHUKURU MUNGU AJAKUVUA NGUO ULIZA WALIOVULIWA NGUO NA CHACHAGE LTE LEO WAKO MAOFISINI WANAWAZA MPAKA BASI WENGINE HATA KUOLEWA WANAOGOPA MIMBA WATAKWENDA DONT ASK MUCH
 
Sticking your nose where it doesn't belong, kama system ya DSM huijui vizuri i think its better you pass along silently au uulizie! Cause kwa mtu alie chuoni hapo atakubali thats wrong! Huwez muuzia mwanzfunz desa kwa nguvu na kugawa marks for that. Kama ni kweli its wrong boom or no boom! Protocol mwalim anatakiwa atume desa(which is just a guideline really) stationary kwa anaetaka anaenda kupiga copy also softcopy anaiweka online or anakua ametoa reference mnaenda kuchck library! Msirushe matusi ti bila sababu
 
Hayo ndo maisha ya chuo kijana ila ukiona ngumu kumeza we acha tu mtaonana kwenye 16 yake ..inaitwa SU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…