Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
Hizi ndio changamoto tunazokutana nazo leo ktk kulea kizazi cha digitali, hela ya steshenari ananunulia simu yenye FB na Whatssup (sijui kama nimepatia), kila siku lazima awe na bundle na aingie kwenye mitandao kama FB, JF, Michuzi nk.
Lini atataka kununua kitabu/desa? Enzi zetu Lecturer akiwaandalia desa mnafurahi kwa sababu unapata urahisi wa wapi pa kusoma, unabaki unaenda kwenye vitabu kutafuta reference kwa sababu vitabu vyenyewe ni gharama.
Sasa mwache akalie kulalamika humu JF wenzake wananunua, wanasoma na wanafaulu; yeye kalaghabahooo!
Yani hata hili desa aloliandaa jamaa liko poa sana.