Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

Tunaosoma coz hiyo tunajua tunachokifanya hapa chuoni nashanga anayekurupuka kuandika asilolijua we unataka tusome nini acha kukuruupuka Fanya research kabla hujaja kujionesha humu muone
 
Inawezekana angetoa kopi mwenyewe gharama zikekua chini ya hiyo elfu 10. na pia sio lazima kusoma hilo desa kwani wengine wangeweza kusoma vitabu na kuokoa hiyo pesa. sio lazima kusoma mkuu
chuo kaka usipopewa guideline huwez soma Kila kitu ,,jamaa karahisisha Maisha kwa ku-compile vitabu mbalmbal ndo akatoa desa lake we usome kwa urahisi..
 
Dogo kafikisha ujjumbe kkwaa waahussikkaa ssiddhani kkamaa uddbs ninayo ifaahaamu mimi ingependaa kuchaafulliwaa hapa sidhani. Dr, masoud pllz chukuaa hatua kkwa hilo. Inaonekana huyu mwalimu ni kero kabisa kwa wanafunzi wake na haaya si malalamiko ya kkwanza, ana shutuma nyingi ikiwaapo kkutembeaa nawatoto waa kkikke asiwape sup.
 
Hapa naona tatizo ni wivu tu na akili za kimaskini. Sasa kama Lecturer ametumia muda wake kutengeneza manual, wewe unataka aitoe bure? Tsh 10,000/- kitu gani ukifaulu vizuri masomo yako?
 
kila aliye chngia hapa sijaona uchambuzi yakinifu zaidi ya kumzonga kwa maneno makali kijana wa watu. ukweri nikwamba bumu wanapata kwa asilimia wengine mpaka daraja c na wengine f kabisa sasa kama wange pata kwa asilimia yakutosheleza unafikili wange lalama?

wengine ndio hivyo hali niduni na uwezo wakununua desa hilo kwa bei hiyo hawana. baadhi yetu nauli ya daladala ikipanda kwa shilingi 200 tutaandika sana humu kuponda na kupinga. Alicho maanisha bei husika sio salama kwamaisha ya wasiokuwa nacho chuoni.
angalizo punguzeni chuki na mada za wenzenu, zaidi tafakarini namna yakupokea wageni kwenye jamii.

nimewasilisha

asanteni
 
Kumbe ni dr masoud! Aka mr misifa!, kawaida yake hiyo! Hawamjui ndio maana wanamponda kijana wa watu.
Ajapata cpa huyo, kiwango hana, na hilo desa lake nani editor ili lipate idhini yakutumika kama reference material? Poleni jamani
 
Kwa hiyo ukinunua hilo desa unapata maksi ngapi kwenye coursework?

Story nyingine hata ukimpelekea Shigongo hatazitoa kwenye magazeti yake.

Sishangai kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam. Enzi zetu nakumbuka mzee wa CL 106 Dr. Kadeghe ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi alitulazimisha kununua vitabu vyake licha ya kuwa chini ya kiwango. Usipo nunua hupati marks za course work. Inaweza kuwa ni kweli ndugu.
 
Tunaosoma coz hiyo tunajua tunachokifanya hapa chuoni nashanga anayekurupuka kuandika asilolijua we unataka tusome nini acha kukuruupuka Fanya research kabla hujaja kujionesha humu muone

Kama sijakupata kwa lolote vile. Kuna wenzenu hiyo pesa ndio inasolve hadi matatizo ya ada. Sasa kila mwalimu atakae ingia darasani nakulazimisha kununua materials zake kwa bei hiyo patakalika kweli?
 
Usemi wa kiganda unasema "omuchira gwembuzi nigweyelela aigulikukwata" yaani mkia wa mbuzi unachezea pale ulipo. Hivo mwacheni huyo lecturer nayeye apatie hapo anapoweza kupatia, ingekuwa wakuu wake Mulugo na Fastjet ni waadilifu ndo tungepata haki ya kumlaum.
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Lecturer not lecture! Voucher unatumia mpaka elfu 20 kwa mwezi, kununua notice kwa elfu 10 upate elimu unapiga kelele, digital generation mna matatizo.
 
<font size="3">Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan <br />
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK<br />
</font>
<br />
<br />
 
Sticking your nose where it doesn't belong, kama system ya DSM huijui vizuri i think its better you pass along silently au uulizie! Cause kwa mtu alie chuoni hapo atakubali thats wrong! Huwez muuzia mwanzfunz desa kwa nguvu na kugawa marks for that. Kama ni kweli its wrong boom or no boom! Protocol mwalim anatakiwa atume desa(which is just a guideline really) stationary kwa anaetaka anaenda kupiga copy also softcopy anaiweka online or anakua ametoa reference mnaenda kuchck library! Msirushe matusi ti bila sababu

thats why you are a gud guy,,acha hao wanaonitukana,,kuda daeeek mbulula sana hao jamaaa
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
Hilo desa si unalitumia kwa faida yako?acha kulalamika,nunua,ulisome ufaulu mtihani then tembea....
 
Wamezoea kuvuliwa chupi ndio wapate degree.

Hizi ndio changamoto tunazokutana nazo leo ktk kulea kizazi cha digitali, hela ya steshenari ananunulia simu yenye FB na Whatssup (sijui kama nimepatia), kila siku lazima awe na bundle na aingie kwenye mitandao kama FB, JF, Michuzi nk.

Lini atataka kununua kitabu/desa? Enzi zetu Lecturer akiwaandalia desa mnafurahi kwa sababu unapata urahisi wa wapi pa kusoma, unabaki unaenda kwenye vitabu kutafuta reference kwa sababu vitabu vyenyewe ni gharama.

Sasa mwache akalie kulalamika humu JF wenzake wananunua, wanasoma na wanafaulu; yeye kalaghabahooo!
 
Hivi UDSM haina software ya learnline? Kila dent na password yake msterial yoote unakuta kwa page yako kuanzia video lectures, slides na notes? Inapaswa tupige hatua, elimu ya fotokopi kwa dent ishapita wkt wake
 
Hivi UDSM haina software ya learnline? Kila dent na password yake msterial yoote unakuta kwa page yako kuanzia video lectures, slides na notes? Inapaswa tupige hatua, elimu ya fotokopi kwa dent ishapita wkt wake
kweli mkuu! Ila umeme wa Muongo?
 
Hi si sawa kabisa, chuo kikiachia utaratibu kama huu ufanywe na kile lecturer wanafunzi watakuwa wanaumia. You should not force to get money out of people pocket kwa nguvu, sio wanafunzi wote wenye boom. Huu ni uonevu, that lecturer should be removed.
 
Usitoke nje ya mada kaka mleta mada hoja yake ni uhalali wa kulazimishwa kununua desa na wala hajataka apewe bure, hebu kuwa fair kwenye ku argue hivi ni sahihi kumlazimisha kununua hilo desa?

No research no right to speak.. Afu huyu sodoka ni mkuda, yeye kama alikuwa na malalamiko yake kuhusu hayo madesa kwa nini asiende ofisini kwa Dean atoe taarifa, ye
anakuja kulalama huku jf ambako hawezi pata suluhisho la jambo analolalamikia.. Ila nadhani jana alipatiwa majibu mazuri na lecturer.
 
Hi si sawa kabisa, chuo kikiachia utaratibu kama huu ufanywe na kile lecturer wanafunzi watakuwa wanaumia. You should not force to get money out of people pocket kwa nguvu, sio wanafunzi wote wenye boom. Huu ni uonevu, that lecturer should be removed.

Wapo waloenda kutoa taarifa kuwa hawawezi kununua hayo madesa coz wana hali ambayo si nzuri kiuchumi na wamesikilizwa na kusaidiwa na lecturer. Na ni watu kumi tu kati ya 499 ndio hawajanunua desa.
 
Back
Top Bottom