Henry Msuya G
Member
- Jun 13, 2012
- 18
- 1
Tunaosoma coz hiyo tunajua tunachokifanya hapa chuoni nashanga anayekurupuka kuandika asilolijua we unataka tusome nini acha kukuruupuka Fanya research kabla hujaja kujionesha humu muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chuo kaka usipopewa guideline huwez soma Kila kitu ,,jamaa karahisisha Maisha kwa ku-compile vitabu mbalmbal ndo akatoa desa lake we usome kwa urahisi..Inawezekana angetoa kopi mwenyewe gharama zikekua chini ya hiyo elfu 10. na pia sio lazima kusoma hilo desa kwani wengine wangeweza kusoma vitabu na kuokoa hiyo pesa. sio lazima kusoma mkuu
Kwa hiyo ukinunua hilo desa unapata maksi ngapi kwenye coursework?
Story nyingine hata ukimpelekea Shigongo hatazitoa kwenye magazeti yake.
Tunaosoma coz hiyo tunajua tunachokifanya hapa chuoni nashanga anayekurupuka kuandika asilolijua we unataka tusome nini acha kukuruupuka Fanya research kabla hujaja kujionesha humu muone
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
<br /><font size="3">Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan <br />
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK<br />
</font>
Sticking your nose where it doesn't belong, kama system ya DSM huijui vizuri i think its better you pass along silently au uulizie! Cause kwa mtu alie chuoni hapo atakubali thats wrong! Huwez muuzia mwanzfunz desa kwa nguvu na kugawa marks for that. Kama ni kweli its wrong boom or no boom! Protocol mwalim anatakiwa atume desa(which is just a guideline really) stationary kwa anaetaka anaenda kupiga copy also softcopy anaiweka online or anakua ametoa reference mnaenda kuchck library! Msirushe matusi ti bila sababu
Hilo desa si unalitumia kwa faida yako?acha kulalamika,nunua,ulisome ufaulu mtihani then tembea....Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
Wamezoea kuvuliwa chupi ndio wapate degree.
kweli mkuu! Ila umeme wa Muongo?Hivi UDSM haina software ya learnline? Kila dent na password yake msterial yoote unakuta kwa page yako kuanzia video lectures, slides na notes? Inapaswa tupige hatua, elimu ya fotokopi kwa dent ishapita wkt wake
Usitoke nje ya mada kaka mleta mada hoja yake ni uhalali wa kulazimishwa kununua desa na wala hajataka apewe bure, hebu kuwa fair kwenye ku argue hivi ni sahihi kumlazimisha kununua hilo desa?
Hi si sawa kabisa, chuo kikiachia utaratibu kama huu ufanywe na kile lecturer wanafunzi watakuwa wanaumia. You should not force to get money out of people pocket kwa nguvu, sio wanafunzi wote wenye boom. Huu ni uonevu, that lecturer should be removed.