Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

No free lunch hapa duniani..tena nahc we jamaa utakua ni wa kule udbs.
 
Ulitaka atoe bure? si bora amewalahishia, vitabu vinauzwa how much?
 
Zinaitwaga Compendium,
Na ile Laki 2 wanayokupa bodi kwaajili ya "Stationaries+Books" ndio itumike.

#Tutaonana kwenye C.Work, registratn No yako ninayo..
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK
una roho ya kimaskini basi omba ukatoe kopy uone kama hairudi hiyo hiyo
 
Soma wewe acha kuleta upuuzi wako humu.badala ya kusoma unahangaika na Jf huku sio size yako...hizo bundle unazotumia umepewa bure?? yani mtu anakuandalia maisha yako we kapuku unalalamika?? mbona mbunye mnazigharamia na hamsemi?? mpyuuz wewe
hahahahahahahahahhah jf never boring hahahahahha umemweza kweli kweli akakojoe tu alale heheheeheheeheheheh SODOKA ukome we mtoto w mkulima nini nyooooooooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Sasa mnataka mpewe bure? Hela za vitabu mnataka mpeleke ........
 
bora yao wananunua Tsh.10,000/= huku kwetu 20,000/= na ni lazima uingie nalo kwenye test kama huna wewe ujijue ni direct carry course. Hii ndio nchi yetu ya kifisadi mpaka yehova atakaporudi
 
...mleta mada cjamuelewa kAbisa...
ar u complaining ..?,,au unafanya accounting hapo kujua jamaa katengeneza kiac gan..?
#hata acngekuzia ungetoa-copy na bado ungetumia pesa2...
ache kulalamika kwa mazoea...

Inawezekana angetoa kopi mwenyewe gharama zikekua chini ya hiyo elfu 10. na pia sio lazima kusoma hilo desa kwani wengine wangeweza kusoma vitabu na kuokoa hiyo pesa. sio lazima kusoma mkuu
 
Wewe ulitaka upewe bure?

Usitoke nje ya mada kaka mleta mada hoja yake ni uhalali wa kulazimishwa kununua desa na wala hajataka apewe bure, hebu kuwa fair kwenye ku argue hivi ni sahihi kumlazimisha kununua hilo desa?
 
ukombozi ni mgumu sana mijini kuliko vijijini.
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Naona anatishia kukufelisha kama vipi mtaje jina kabisa tumjue
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

unataka ale wapi? mshahara hautoshi!
 
acha ujinga wewe, ulitaka upewe bure? Mi mwenyewe nimeuza last semester kwa sh. 7000
 
Lecture mmoja JINA KAPUNI chuoni UDSM aamua kuchuma pesa kutoka kwa wanafunz wake 450 ameuza desa kwa tsh 10,000 yaan
10,000x450=4,500,000,,,KUNUNUA NI LAZIMA KWANI NI SEHEMU YA MARKS ZA COURSE WORK

Anaitwa genuine martin yupo UDBS Dept ya finance. Wanamwamini sana eti yeye ni kichwa ata akifanya maovu hasa kutembea na dada zetu (USHAIDI NINAO) hawamfanyi kitu eti ni coz ni kichwa. Amekuwa aki2felisha ili kupata sifa kwa Dr Minja. haya madudu anayofanya c ya kwanza, Dr Masoud tafadhari fuatilia hili utatjua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…